Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Bro haujamboBroooo
Bro haujamboBroooo
Safi sana, usijaribu tena 😆Kwema wakuu, heshima mbele!
UKIPENDA NI NOMA AISEE! Next time nitajitajidi mimi ndio nijibu nakupenda pia, ngoja nile glucose kwanza nipate nguvu ya kusimulia, nitarudi.
to be continued....
Pole usikwazike, hebu niache niwaringishie kidogo 😅😆Binti wa zamani unanikwaza sana, kwanini uniwekee makopa na ucheke peke yako, wakati hizo reactions nyingine mimi sizipati..!??😒
Sijambo likambakuBro haujambo
Vicheko vimenipotea bro 😆Bro huu ni uoga wa maisha, mpende mtu hadi akiona kivuli chako anakijua, akikuzingua piga chini kamata mwingine mpende sana.
Maisha ndo haya haya
Wewe unajua nini Holoholo a.k.a lovely Emmy?Huna ujualo
Wanawake ni wauaji, niliwapenda, niliwahuruhumia sana, niliwasaidia sana, kumbe ni manungunungu....ninachofanys ninakula ninapita hiviKwema wakuu, heshima mbele!
UKIPENDA NI NOMA AISEE! Next time nitajitajidi mimi ndio nijibu nakupenda pia, ngoja nile glucose kwanza nipate nguvu ya kusimulia, nitarudi.
to be continued....
Kula pita hiviKwema wakuu, heshima mbele!
UKIPENDA NI NOMA AISEE! Next time nitajitajidi mimi ndio nijibu nakupenda pia, ngoja nile glucose kwanza nipate nguvu ya kusimulia, nitarudi.
to be continued....
😂😂😂 Huko huko bafuni apige namba nyingine bro, maisha lazma yaendeleeVicheko vimenipotea bro 😆
Mtoa mada aliyafanya hayo sahivi analilia bafuni
Nitakulipa mpaka ukome..!😂😂Pole usikwazike, hebu niache niwaringishie kidogo 😅😆
Bro ulichokula leo kile kila siku, nimecheka. Huko huko bafuni anyamaze apige namba mpya😂😂😂 Huko huko bafuni apige namba nyingine bro, maisha lazma yaendelee
Muda wa kulia uko wapiiii bro, apige namba chaapBro ulichokula leo kile kila siku, nimecheka. Huko huko bafuni anyamaze apige namba mpya
Sawa, ila kwa sasa acha nikutese kidogo 😂 😆Nitakulipa mpaka ukome..!😂😂