Ndio kilichobaki sisi wengine tuna mioyo safi wanatuharibia tu tunageuka wanyama sio kwa kutakaWanawake watakuua
Wanawake ni wauaji, niliwapenda, niliwahuruhumia sana, niliwasaidia sana, kumbe ni manungunungu....ninachofanys ninakula ninapita hivi
NakaziaJitahidi ukae upande wa me too. Tofauti na hapo andaa pakulilia
waaaaatuuuu weeeeeeweeeee..🔥🔥🔥Sawa, ila kwa sasa acha nikutese kidogo 😂 😆
Yupi tajiri ?Nakazia
yule yu wapi ?
umeanza binti yangu,najua mengi zaidi yako,sema tu nikikwambia utakimbia!Wewe unajua nini Holoholo a.k.a lovely Emmy?
Hebu jaribu tuone 😂 😎umeanza binti yangu,najua mengi zaidi yako,sema tu nikikwambia utakimbia!
Yule beshte ako wa humuYupi tajiri ?
Ah yupo amejaa tele huko nje. Namfikishia salamu alog in..Yule beshte ako wa humu
Msamilie sanaAh yupo amejaa tele huko nje. Namfikishia salamu alog in..
Pole sana,bila kukosea huwezi jifunzaKwema wakuu, heshima mbele!
UKIPENDA NI NOMA AISEE! Next time nitajitajidi mimi ndio nijibu nakupenda pia, ngoja nile glucose kwanza nipate nguvu ya kusimulia, nitarudi.
to be continued....
ushauri mzuri Kaka Evelyn saltBro huu ni uoga wa maisha, mpende mtu hadi akiona kivuli chako anakijua, akikuzingua piga chini kamata mwingine mpende sana.
Maisha ndo haya haya