Ibrahim300
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 390
- 68
Hii wiki ya Valentine naona itakuwa wiki ya kuwanasua mastaa.
Juzi tu Aunty Lulu alinaswa katika tendo la kimadavidavi na jamaa fulani na sasa Ney Wa Mitego ameingia katika list hio.
Hivi tunavyojua Ney mchumba wake mpya anaitwa Siwema. Hata aliweza kumnunulia gari demu huyo si kitambo. Lakini kushangaza ni kuwa staa huyu amenaswa katika tendo la kimahaba na Fatuma Ayubu 'Bozi'.
Baada ya kujaribiwa kuulizwa na mapaparazi Ney aliingia gizani ila 'Bozi' alifunguka kwa maneno haya:
Siwezi kubisha hata kidogo nampenda sana huyu mwanaume (Ney) hata aende wapi atarudi hapa, huyo Siwema hawezi kunikondesha, siwezi kumwacha huwa nalala kwake napika na kupakua, alisema Bozi.