Ney Akutwa Na Mdada Mwingine

Ney Akutwa Na Mdada Mwingine

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68
Hii wiki ya Valentine naona itakuwa wiki ya kuwanasua mastaa.

NEYNADEMUWAKE.jpg

Juzi tu Aunty Lulu alinaswa katika tendo la kimadavidavi na jamaa fulani na sasa Ney Wa Mitego ameingia katika list hio.

Hivi tunavyojua Ney mchumba wake mpya anaitwa Siwema. Hata aliweza kumnunulia gari demu huyo si kitambo. Lakini kushangaza ni kuwa staa huyu amenaswa katika tendo la kimahaba na Fatuma Ayubu 'Bozi'.

attachment.php

Baada ya kujaribiwa kuulizwa na mapaparazi Ney aliingia gizani ila 'Bozi' alifunguka kwa maneno haya:
“Siwezi kubisha hata kidogo nampenda sana huyu mwanaume (Ney) hata aende wapi atarudi hapa, huyo Siwema hawezi kunikondesha, siwezi kumwacha huwa nalala kwake napika na kupakua,” alisema Bozi.
 
Attachments

  • NEYKIMAHABAZAIDI.jpg
    NEYKIMAHABAZAIDI.jpg
    48.1 KB · Views: 554
Mwacheni ale ujana maisha mafupi sanaa
 
na jehanam je?

Atakula moto tu huko sio ujana tena
Ulisema wanawake watakua wanaingiliwa na nyoka je huyu nae ataingiliwa na nyoka au atapewa k yenye moto unaowaka?
 
Atakula moto tu huko sio ujana tena
Ulisema wanawake watakua wanaingiliwa na nyoka je huyu nae ataingiliwa na nyoka au atapewa k yenye moto unaowaka?

mnyoo mkubwa na wenye miiba utapenja kwenye lile bomba linalotema wazungu
 
Hii wiki ya Valentine naona itakuwa wiki ya kuwanasua mastaa.

NEYNADEMUWAKE.jpg

Juzi tu Aunty Lulu alinaswa katika tendo la kimadavidavi na jamaa fulani na sasa Ney Wa Mitego ameingia katika list hio.

Hivi tunavyojua Ney mchumba wake mpya anaitwa Siwema. Hata aliweza kumnunulia gari demu huyo si kitambo. Lakini kushangaza ni kuwa staa huyu amenaswa katika tendo la kimahaba na Fatuma Ayubu 'Bozi'.

attachment.php

Baada ya kujaribiwa kuulizwa na mapaparazi Ney aliingia gizani ila 'Bozi' alifunguka kwa maneno haya:
"Siwezi kubisha hata kidogo nampenda sana huyu mwanaume (Ney) hata aende wapi atarudi hapa, huyo Siwema hawezi kunikondesha, siwezi kumwacha huwa nalala kwake napika na kupakua," alisema Bozi.
Cha ajabu nini?Yule sijui Ney anaweza post picha hata na.................:shock:.
 
Back
Top Bottom