Ney wa Mitego aamua kujianika wazi katika video ya MR NEY

Aquatic

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2013
Posts
716
Reaction score
269
Msanii wa bongo flava Ney wa Mitego ametoa video mpya ya wimbo wake MR NEY, katika wimbo huo kuna taswira mbalimbali ambazo zimeonekana kwa wale wenye kuingalia Music industry kwa jicho la tatu kama wengi wasemavyo kuna ujumbe mwingi wasanii hao huusambaza katika mashairi yao na video zao.

Katika video hiyo kuna alama nyingi sana zimeonekana na Ney akizionyesha ambazo zinafafana na alama za illuminat na ukiangalia kwa makini video queen katika mziki huo kuna kipindi ugeuka kama shetani na alama kubwa kabisa inayoonekana mwanzo wa muziki yenye pembe tano katikati ina alama ya kichwa cha lucifer.

Alama hiyo unaweza kuiona kwa kuweka slow motion vinginevyo huwezi kuiona na mwisho wa video kuna alama inatokea #966 #.

Swali je NEY wa Mitego ameamua kuwa msanii wa kwanza Africa Mashariki kujitangaza kwamba yeye anamtumikia shetani? Huo ni mtazamo tu


 
Sidhani kama ana uwezo wa kuingia pande hizo,sema anachokifanya ni kutafuta kick ya kumfanya aonekane ka mantain game for long time ila siku zote huwa nasema mziki wa Bongo mgumu sana unahitaji uwe very creative cause every time game linachange,artist wanakuja wapya wenye hasira.Siku hizi hata maw..gu FM hawawabebi bebi tu mpaka wakuone we mkali.Congratuation to ma friend Mr Ney
 
Ney alishasema Kitambo sana kuwa yeye, Mzee Yusuph na Diamond ni wa pande hizo. Kwa kufuatilia tungo, ishara, alama anazotumia na picha zilizoonyeshwa katika jumba lake naamini pasi na shaka kwamba Ney ni wakala na mfuasi wa lucifer
 
Hakuna kitu kama hicho bhana coz ney anachokifanya ni kuwaponda tu raia wanaoingia na waliokwisha kuingia katika ulimwengu wa kifremason
 
Hvi mnaijua fremason au? hapo anatafuta kiki na kuitangaza dini za watu bila malipo! ukijiunga na fremason ukimaliza usaili unapewa gari ya kifahari kama zawadi $ na vitu kibao! mwambieni kama mziki umemshinda arudi kijijini! wanauza unga kupitia mgongo wa fremasoo? na log off
 
Hivi huu ujinga wa Freemason mtauacha lini?
 
Wauza sembe ni wazuri kukopi staili za majuu fashion na mengineyo
Kumbukeni model jack patrik alikuwa anavaa nguo za madizaina maarufu uko majuu sasa msishangae na huyu kukopi kina fudenge wa majuu
 
Ila asishobokee sana mitaa hyo. Jzee hakupenda kwenda huko,they can manipulate u.
 
Ney alishasema Kitambo sana kuwa yeye, Mzee Yusuph na Diamond ni wa pande hizo. Kwa kufuatilia tungo, ishara, alama anazotumia na picha zilizoonyeshwa katika jumba lake naamini pasi na shaka kwamba Ney ni wakala na mfuasi wa lucifer

Nooooooo kubwa
 
Yaani Freemason wa bongo hata ukiwa na vits utajitangaza nishakuwa. Freemason du kazi kweli
 
Mjenzi Huru aje anijengeee fensi yangu bure bila malipo yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…