Aquatic
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 716
- 269
Msanii wa bongo flava Ney wa Mitego ametoa video mpya ya wimbo wake MR NEY, katika wimbo huo kuna taswira mbalimbali ambazo zimeonekana kwa wale wenye kuingalia Music industry kwa jicho la tatu kama wengi wasemavyo kuna ujumbe mwingi wasanii hao huusambaza katika mashairi yao na video zao.
Katika video hiyo kuna alama nyingi sana zimeonekana na Ney akizionyesha ambazo zinafafana na alama za illuminat na ukiangalia kwa makini video queen katika mziki huo kuna kipindi ugeuka kama shetani na alama kubwa kabisa inayoonekana mwanzo wa muziki yenye pembe tano katikati ina alama ya kichwa cha lucifer.
Alama hiyo unaweza kuiona kwa kuweka slow motion vinginevyo huwezi kuiona na mwisho wa video kuna alama inatokea #966 #.
Swali je NEY wa Mitego ameamua kuwa msanii wa kwanza Africa Mashariki kujitangaza kwamba yeye anamtumikia shetani? Huo ni mtazamo tu