Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Nafikiri hicho kiasi alistahili kupata kwenye show 4 na sio unafanya show karibu 10 then unajisifia kupata 24m
Nafikiri hicho kiasi alistahili kupata kwenye show 4 na sio unafanya show karibu 10 then unajisifia kupata 24m
Ney wa mitego amefunguka leo kupitia kipindi cha Amplifaya cha clouds fm kuwa amefanikiwa kuingiza kiasi cha mamilioni ya shilingi katika show za fiesta zinazoongozwa clouds, Ney wa mitego amesema hayo wakati huu wa kutimiza miaka 14 ya clouds fm alipokuwa akihojiwa. Ney "alisema Nimefanikiwa kuingiza zaidi ya milioni 24 za kitanzania katika msimu wa fiesta wa mwaka huu"
kaka....kutoka alipotoka anastahili kujisifia 24m....tuwe wakweli kwa mtanzania mwenye kazi ya kawaida itamchukua muda gani kupata 24m???lets say unapata 2m kwa mwezi....mwaka mzima ndio utapata 24m na usiitumie kufanya chochote...hivi kima cha chini bei gani tena??
Ney wa mitego kapiga show zote za fiesta.
Piga mahesabu ya mikoa yote fiesta ilipo zunguka ndio utaju hiyo ni pesa ndogo au kubwa?
Ukipiga hesabu utakuta kila show amelipwa Laki5[/QUOTE]
hiyo pesa unayoidharau kuna watu mwezi mzima awaipati hiyo.yeye ndani ya nusu saa ameipata akiwa kazin anapiga show
Nafikiri FIESTA walizunguka karibia mikoa 15 but sina uhakika kama NEY alizunguka mikoa yote
lazima ujue fiesta wanakuwa wasanii wengi sana wanaopiga show na ata ukilipwa aulipwi kwa show moja moja bali kwa zote.hivo lazima ipungue,kama ulisoma business utakuwa umenielewa
Kuwa wasanii wengi sio issue,wasanii wanapaswa kuweka standard zao za kulipwa,haina maana ufanye show nyingi then ulipwe hela kidogo,angeweza kuhudhuria hata show 5 lakini akalipwa vizuri mfano Diamond ameweka standard ukimuita kwenye show ana kiwango ambacho lazima umlipe haijalishi utakuwa na wasanii wangapi.Mbona wasanii wa nje wanalipwa vizuri
wewe kila ukienda kazin unalipwa pesa ngap kwa kila masaa 2.
Ney pesa nyingi sana alilipwa kwenye show za Airtel