Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
- Thread starter
- #21
PHP:wewe kila ukienda kazin unalipwa pesa ngap kwa kila masaa 2.
Msanii analipwa kila anapofanya onyesho halipwi kwa mwezi otherwise kama mkataba wake unasema hivyo au yuko label inayomsimamia kazi zake ,mfanyakazi analipwa baada ya kufanya kazi mwezi mzima analipwa kwa masaa kama atakuwa na overtime
Hapa at least umeanza kunielewa,i hope Airtel alipata hela nyingi sana kuliko hiyo aliyopata kwenye FIESTAPHP:Ney pesa nyingi sana alilipwa kwenye show za Airtel
My point hiyo 24m na NEY alizunguka almost mikoa yote kwenye FIESTA ni hela ndogo,nimekupa mfano kuna wasanii wengine wameperform show chache za fiesta wakapata na show nyingine wakaingiza hela nyingi kuliko hiyo 24m
na mimi nikakuuliza kama umeona million 24 ni kidogo wewe unaingiza ngap? mwaka huu Ney ameingiza zaidi ya million 120. wewe umeingiza ngap?
pia ukumbuke fiesta ilipotokea wasanii walikuwa wanalipwa elfu 50 .sasa hivi pesa wanayolipwa nzuri.
wakat wa fiesta kuna show nyingine ney alikuwa anapiga muda aliopata hivo jumla ameingiza pesa nyingi