Ney wa Mitego Aanika mamilioni aliyoingiza kipindi cha Fiesta Mwaka huu..!!

PHP:
wewe kila ukienda kazin unalipwa pesa ngap kwa kila masaa 2.

Msanii analipwa kila anapofanya onyesho halipwi kwa mwezi otherwise kama mkataba wake unasema hivyo au yuko label inayomsimamia kazi zake ,mfanyakazi analipwa baada ya kufanya kazi mwezi mzima analipwa kwa masaa kama atakuwa na overtime

PHP:
Ney pesa nyingi sana alilipwa kwenye show za Airtel
Hapa at least umeanza kunielewa,i hope Airtel alipata hela nyingi sana kuliko hiyo aliyopata kwenye FIESTA

My point hiyo 24m na NEY alizunguka almost mikoa yote kwenye FIESTA ni hela ndogo,nimekupa mfano kuna wasanii wengine wameperform show chache za fiesta wakapata na show nyingine wakaingiza hela nyingi kuliko hiyo 24m

na mimi nikakuuliza kama umeona million 24 ni kidogo wewe unaingiza ngap? mwaka huu Ney ameingiza zaidi ya million 120. wewe umeingiza ngap?

pia ukumbuke fiesta ilipotokea wasanii walikuwa wanalipwa elfu 50 .sasa hivi pesa wanayolipwa nzuri.

wakat wa fiesta kuna show nyingine ney alikuwa anapiga muda aliopata hivo jumla ameingiza pesa nyingi
 
Unapata mil 24 then unaenda kununua altrzza na Kula bata za kijinga hakuna investment ya maana uliyofanya baada ya miaka miwili unaumwa unaanza kuomba msaada kupitia magazeti Hulu ukilalamika ulikuwa hulipwi vizur .....hii ndyo lifestyle ya msanii bongo soon mtayaskia ya ney wa mitego na mil 24 fake
 
na mimi nikakuuliza kama umeona million 24 ni kidogo wewe unaingiza ngap? mwaka huu Ney ameingiza zaidi ya million 120. wewe umeingiza ngap?

pia ukumbuke fiesta ilipotokea wasanii walikuwa wanalipwa elfu 50 .sasa hivi pesa wanayolipwa nzuri.

wakat wa fiesta kuna show nyingine ney alikuwa anapiga muda aliopata hivo jumla ameingiza pesa nyingi
Naona hutaki kunielewa unaleta ubishi usio na maana nimekwambia muziki wa bongo now unalipa sana na sijabisha kwamba jamaa hajaingiza hela kwenye show nyingine.My point still hao jamaa wa FIESTA wanawalipa wasanii wetu hela ndogo kuliko wanachostahili ,hivi unajua wasanii wa nje wanalipwa bei gani kwenye hiyo hiyo FIESTA?
Kama Diamond analipwa 10m kwa show tunategemea NEY at least apate nusu yake 5m then ukizidisha kwa mikoa karibu 15 hicho ndio amount aliyostahili kupewa
 
ungesoma business ungenielewa. pesa unayolipwa kupiga show moja na pesa unayolipwa ukiingia mkataba wa kupiga show nyingi ni tofauti.

ukimtumia msanii kwenye show kuanzia 5 -15 gharama zinakuwa nafuu kuliko ukimuandalia show moja
 
Hii issue sidhani kama unahitaji kusoma business,unafikiri why CLOUDS hawakuzunguka na Diamond kwenye FIESTA zote? Diamond yuko clear lazima umlipe 10m kwa show ,my main point ni kwamba wasanii wanatakiwa kujitambua kuweka standard zao otherwise wataendelea kuibiwa sana.
 
kuna wakuu wameshikilia music huu ukigoma kuwaunga mkono kwenye matamasha hawakupi promo wala nyimbo zako azichezwi .

hivo ukiwa msanii ambaye ujajipanga vizuri kimaisha lazima uende.

show ya diamond fiesta 2009 alilipwa elfu 50 akagawana na dansa wake akapata 10,000 tu.
 
duh
199750_10150140342329345_817319344_6322801_7573011_n.jpg

hivi fiesta ilifanyika mikoa mingapi?
 
kuna wakuu wameshikilia music huu ukigoma kuwaunga mkono kwenye matamasha hawakupi promo wala nyimbo zako azichezwi .

hivo ukiwa msanii ambaye ujajipanga vizuri kimaisha lazima uende.

show ya diamond fiesta 2009 alilipwa elfu 50 akagawana na dansa wake akapata 10,000 tu.

Ndio maana nimekwambia huu muziki sasa unalipa 2009-2013 ni almost miaka 4 imepita but still Diamond alikuwa underpaid.Naamini kama wasanii wakijitambua wataweza kuondoa huo ukiritimba binafsi nimefurahi jamaa wa East Africa ambao wameleta upinzani kwa CLOUDS i hope hii itasaidia kuwapa changamoto CLOUDS kuwaongezea dau wasanii.Now kuna makampuni ambayo yanawatumia wasanii kama mabalozi (Samsung-MwanaFA,CocaCola-Diamond,Kala Jeremia-PEPSI,AY-Airtel) so value ya wasanii imepanda kwa sasa.
 
hivi fiesta ilifanyika mikoa mingapi?

ngoja nihitaje baadh ninayoikumbuka utahesabu mwenyewe.
dar,morogoro,mbeya. iringa. dodoma. mwanza. kahama. geita. zanzibar. kigoma. Singida. tabora.mtwara, lindi, mara, moshi.arusha na mingine nimeisahau
 
assume kwamba ni 20.

haya 24m/20 =1.2 million. sasa chukua costs zote ikiwa logistical point pamoja na vingine utakuta anabakiza kama shs 800,000!

so 0.8m x 20 = 16m. so how comes he say 24 ? ile ni gross, wala sio net profit!
 
Wakati hizo wamelipwa wasanii wa bongo waliopanda Juzi juzi P Square walipokuja?
 
ashukuru maana kile kimziki kimoja kilicho hit ndo basi amshukuru diamond sana kumpa featuring!!! this guy is very average kama unazungumzia kipaji!!!
 
Back
Top Bottom