ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
😆😆😆😆 Wazalendo mtamchangia Hadi lini?Watu hamtaki kukoselewa, pathetic... Nay wa mitego akiweka akaunti namba wazalendo tutamchangia
Hadi tutapopata viongozi ambao wako radhi kukosolewa😆😆😆😆 Wazalendo mtamchangia Hadi lini?
Nyimbo zake hazina maadili na zilipigwa marufukuWaafrika tu wajinga sana. Hivi wakimruhusu aendelee na show zake kuna shida??? Ndiyo maana rais Dkt Samia anawatumbua
Maadili gani hayo?? Uhuru wa kujielezea upo wapi??? Mbona Dkt Samia alishasema hataki uminyaji wa habari.Nyimbo zake hazina maadili na zilipigwa marufuku
Hakuna uhuru wa kujieleza wa kuvunja maadili na kutukana,kama ndio uhuru unataka mpe mwanao awe anakutusi na kudharauMaadili gani hayo?? Uhuru wa kujielezea upo wapi??? Mbona Dkt Samia alishasema hataki uminyaji wa habari.
Muwe mnaona aibu ila ninachokiamini siku yenu inakuja maku nyieHakuna uhuru wa kujieleza wa kuvunja maadili na kutukana,kama ndio uhuru unataka mpe mwanao awe anakutusi na kudharau
Mbona kina Lisu wanakosoa umewahi sikia wakisema ikiwezekana Mungu chukua na Hawa? Mpumbavu akale Kwa Mbowe sasaWanataka wasanii chawa na wanaosifia watu tu.
Ukikosoa wewe ni adui nchi ila laana hii.
Wewe unaogopa neno "Mungu chukua na hawa" wanaume wa DAR wengi wenu ni ziro brain.Mbona kina Lisu wanakosoa umewahi sikia wakisema ikiwezekana Mungu chukua na Hawa? Mpumbavu akale Kwa Mbowe sasa
Hakuna mahala nimesema nahitaji umaarufu.Kunizidi pesa una ushahidi?hata akizuiliwa kufanya shoo kwa miaka yote, nay wa mitego bado ataendelea kukuzidi kiuchumi na umaarufu,......punguza chuki kwa watu waliofanikiwa utafanikiwa na wewe mkuu
Ona huyu boya, kaongea mengi ya kipuuzi. Sio kila mtu ana shobo na DarWewe unaogopa neno "Mungu chukua na hawa" wanaume wa DAR wengi wenu ni zito brain.
Unadhani utaishi milele hapa duniani?
Kaza moyo kifo kipo waambie na wenzio waoga wa kufa.
Samia ndio hataki kukosolewa unazunguka mbuyu tu kwa unafiki sema ukweli!Waafrika tu wajinga sana. Hivi wakimruhusu aendelee na show zake kuna shida??? Ndiyo maana rais Dkt Samia anawatumbua
Tulia tu ila ntakapokuwa nakumiminia KY ndio ntakukumbusha kuwa sijafa shoga weweWe Maku siku itafika lini? Sinutakiwa umeshakufa?
Basi wa mikoani umeridhika?Ona huyu boya,kaongea mengi ya kipuuzi.Sio.kila mtu ana shobo na Dar