Ney wa Mitego aanza kulialia kwa kuzuiwa kufanya show, akafanye show kwenye mikutano ya CHADEMA

Ney wa Mitego aanza kulialia kwa kuzuiwa kufanya show, akafanye show kwenye mikutano ya CHADEMA

Hakuna uhuru wa kujieleza wa kuvunja maadili na kutukana,kama ndio uhuru unataka mpe mwanao awe anakutusi na kudharau
Wachana na mifano mfu hapa
Tunasema hivi kama hutaki kukosolewa
Achana na siasa kaa nyumbani kwako na mkeo au mumeo na hakuna atakayekufua

Kama sentensi fupi kama hii mmeshindwa kuielewa mna nini mtakachoweza kuisaidia hii nchi
Mbona mambo ni rahisi tu

Matusi wewe unayajua kweli chief?
 
Matusi sio kukosoa
 
Mbona kina Lisu wanakosoa umewahi sikia wakisema ikiwezekana Mungu chukua na Hawa? Mpumbavu akale Kwa Mbowe sasa
Usitupangie cha kusema wewe zwazwa mmoja
Yani anachoongea Lisu basi na watanzania wote ndiyo tuongee hivyo hivyo?
Au una maana gani
 
Usitupangie cha kusema wewe zwazwa mmoja
Yani anachoongea Lisu basi na watanzania wote ndiyo tuongee hivyo hivyo?
Au una maana gani
Matusi na kudhalilisha mamlaka sio hoja wa ukosoaji , endelea kutukana kama hayawani
 
analia wapi we fackeni mkoloni mweusi anaongea na sisi mashabiki zake, unashangilia mtu aliejiajiri kubaniwa haki yake, utakuta wewe umeajiriwa unatumwa kama sungu sungu na mabwana zako walokuajiri, hakuna asiyejua bila dola hamfanyi chochote kuku nyie ipo siku tukigoma ukoloni mtalamba mchange fisi nyie, hata ali bongo alijua atafia madarakani ipo siku yenu ngoja mizani ikae sawa.
 
Mbona anatoa tu maelezo ya kawaida kwamba amenyimwa vibali... sijaona sehemu analialia na kulalamika kama anavyodai mtoa Hoja...
 
Mbona kina Lisu wanakosoa umewahi sikia wakisema ikiwezekana Mungu chukua na Hawa? Mpumbavu akale Kwa Mbowe sasa
Mbona nyie huwa mnamkufuru sana Mungu kwa kufurahia vifo vya wengine

Mfano Baba yako mzee Mkamba aliposema wazuri huwa hawafi means wanaokufa ni wabaya utadhani na nyie mtaishi milele mnaiba pesa hadi mnasahau kifo
Au wewe ujawahi kufiwa? Kama hujawahi ipo siku na wewe utakufa
 
Hivi unaweza kumtukana kiongozi na usichukuliwe hatua kweli?
Au unaongea kwa kuwa ni haki yako

Hebu Ainisha hayo matusi uliyoyasikia wewe na sisi tuyajue huwenda ni mapya
Ndio maana anachukuliwa hatua
 
Bongo mijitu ina roho mbaya sana watu wakiwa wanajiweza mnawatafutia sababu za kijinga na kujipendekeza kwa wengine kwa kuwakwamisha tuu hiyo ndio Tanzania...
 
Back
Top Bottom