Wachana na mifano mfu hapaHakuna uhuru wa kujieleza wa kuvunja maadili na kutukana,kama ndio uhuru unataka mpe mwanao awe anakutusi na kudharau
Matusi sio kukosoaWachana na mifano mfu hapa
Tunasema hivi kama hutaki kukosolewa
Achana na siasa kaa nyumbani kwako na mkeo au mumeo na hakuna atakayekufua
Kama sentensi fupi kama hii mmeshindwa kuielewa mna nini mtakachoweza kuisaidia hii nchi
Mbona mambo ni rahisi tu
Matusi wewe unayajua kweli chief?
Usitupangie cha kusema wewe zwazwa mmojaMbona kina Lisu wanakosoa umewahi sikia wakisema ikiwezekana Mungu chukua na Hawa? Mpumbavu akale Kwa Mbowe sasa
Matusi na kudhalilisha mamlaka sio hoja wa ukosoaji , endelea kutukana kama hayawaniUsitupangie cha kusema wewe zwazwa mmoja
Yani anachoongea Lisu basi na watanzania wote ndiyo tuongee hivyo hivyo?
Au una maana gani
Unaanzisha Uzi Kisha unakomment mwenyewe ni dalili za kukosa watejaUnaleta jeuri wakati una njaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huna adabu wala akili weweHuyu mama ni hopeless than jpm bora hata jiwe alikuwa ni kichwa ngumu angalau alikuwa na kifua
Safi sana, muanze kuwalipa wakinga makambako.Watu hamtaki kukosolewa, pathetic... Nay wa mitego akiweka akaunti namba wazalendo tutamchangia
Alikuja kwako kukuomba ugali?Unaleta jeuri wakati una njaaa ππππ
Mbona nyie huwa mnamkufuru sana Mungu kwa kufurahia vifo vya wengineMbona kina Lisu wanakosoa umewahi sikia wakisema ikiwezekana Mungu chukua na Hawa? Mpumbavu akale Kwa Mbowe sasa
Nyie na nani?Mbona nyie huwa mnamkufuru sana Mungu kwa kufurahia vifo vya wengine
Mfano Baba yako mzee Mkamba aliposema wazuri huwa hawafi means wanaokufa ni wabaya utadhani na nyie mtaishi milele mnaiba pesa hadi mnasahau kifo
Au wewe ujawahi kufiwa? Kama hujawahi ipo siku na wewe utakufa
Hii mbona kawaida sana sema wewe shoga ukienda huko kijambio chako kitakomaNyie na nani?
Ney anatakiwa kufundishwa adabu
View: https://twitter.com/eastafricatv/status/1699349548047454505?t=XYKNAtayEj_QJn9gIIr0ZQ&s=19
Hivi unaweza kumtukana kiongozi na usichukuliwe hatua kweli?Matusi sio kukosoa
Ndio maana anachukuliwa hatuaHivi unaweza kumtukana kiongozi na usichukuliwe hatua kweli?
Au unaongea kwa kuwa ni haki yako
Hebu Ainisha hayo matusi uliyoyasikia wewe na sisi tuyajue huwenda ni mapya