Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
M180 pamoja na hio gari!
Hilo gari utaambiwa ni milion mia tatu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
M180 pamoja na hio gari!
Daimond wapiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!
Huo mjengo picha wajameniii
Hongera
Hongera zake, ila mil 180??
nimeikumbuka nyumba ya wema sepetu yenye thamani ya mill 400
M180 pamoja na hio gari!
rapa mwenye stail ya kipekee amehamia kwenye mjengo wake mpya ulioko kimara korongwe
alioujenga kwa gharama ya million 180 uu ni muendelezo wa nyumba zake 3 ambazo ziko kwenye hatua ya nwisho
kwa picha zaid tembelea
Au ni 18M maana wabongo kwa kuongeza zero mbele ni hodari
Hongera zake kajitahidi sana ila 180m uwongo,wa2 wanakuza bei za vitu sana gari ya 25m anasema 38m duu,hiyo nyumba pamoja na kila ki2 haifiki 90m mana ni nyumba ndogo kma ya 3 bedroom.halafu cjui kajua kuvaa kyupi au boksa ukubwani
du kweli mziki unalipaaa
Halali yake hii house ni Mil 50 lakini nampongeza mno kwani wengine hukalia starehe halafu wanaishia kupanga
M180 pamoja na hio gari!