Ney wa Mitego ajinadi ni baba wa watoto watatu,hana mke,mpenzi na hategemei kuoa leo wala kesho

Ney wa Mitego ajinadi ni baba wa watoto watatu,hana mke,mpenzi na hategemei kuoa leo wala kesho

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

ney wa mitego.jpg
Hii ndo kauli ya Ney wa mitego, Mr_Nay Baba wa watoto watatu... Sina #Mke I mean #Sijaoa na Cna mahusiano ya kimapenzi na Mwanamke yoyote Yule... Kati ya niliozaa nao. Nawapenda watoto wangu nawaheshim mama zao.. #SingleBoy am in love with my #son and daughters... #Rishma_CurtisMunie Happy Sunday

Maoni yangu sasa:
Enyi wadada mnaojipeleka na kujitongozesha kwa hawa wasanii mkae mkijua hawana true love awa mtaishia kuchezewa na kutemwa,nina ushaidi kuna msanii mkubwa TZ tulimuita kwenye show,akaanza kusema tumtafutie na demu mkarii kwa gharama zetu ,mi nikaona anizingua.

Hivyo mtaishia kuzalishwa na kupewa ngoma tu,amkeni mnapangwa na kubadilishwa kama nguo.
 
wasanii watu wakusafir sana so wanaogopa wakioa watachapiwa sana
 
Kwani huyo Neema sijui Ney ndo binti wa nani mpaka awaongee vibaya hivyo wanawake wanzake?
 
Wenzao wanajisifia kwa mauzo ya albam yaliyovunja record...wao wanajisifia kwa kuwa na madem na watoto wengi!!!
 
Wenzao wanajisifia kwa mauzo ya albam yaliyovunja record...wao wanajisifia kwa kuwa na madem na watoto wengi!!!
Hapo sasa, bado wana safari ndefu kwa ujinga huu!
 
Shule pia ni tatizo kubwa kwa wasanii wetu.
Tatizo kubwa sana hilo.
 
Muda si mrefu clouds walikuwa wanamhoji Huyo demu wa mtoto mdogo siyo kwamba kumuacha ila kanyang'anywa na mshikaji. Hivyo ni sizitaki mbichi hizi inaezekana wote washikaji wamemchukulia.
 
Kila mtu ana sababu zake. Ukimfahamu huyo Ney kiundani utaelewa kwanini anasema hivyo.
 
kamfumania Siwema,aisee haya mambo ya distance relationship ni balaa tupu,inatakiwa muwe wagumu hasa ukiwa legelege lazima utacheat tu
 
si siwema aliacha Pedeshee lake kwa ajili ya hii Bongo Fleva ? Mhhh haya
 
Hakuna malove siku hizi,wanawake wenyewe wanazingua tu hata akisema sawa tu.
 
Mhhh xaf xana ao wa dada wakome kukinga kinga wataishiwa kuzalishwa tu......
 
Enyi wadada mnaojipeleka na kujitongozesha kwa hawa wasanii mkae mkijua hawana true love awa mtaishia kuchezewa na kutemwa,nina ushaidi kuna msanii mkubwa TZ tulimuita kwenye show,akaanza kusema tumtafutie na demu mkarii kwa gharama zetu ,mi nikaona anizingua.
Na kwa shoo za mkoa hiyo ndo ipo sana tu... tena unakuta sehemu zingine kunakuwa na mademu spesheli kabisa kwa ajili ya kutoa entertainment husika kwa wateule!
 
Skuli bhana inakamsaada kake...hiv wakina snoop na mibange yao mbona lkn huwa mambo ya mahusiano huwa yanausiri yaan waandishi wa habar ndo huwa wanakaz ya kuwachunguza lkn sasa huku kwetu bhana...mastaa wenu ss,mavi yakiwabana watapost ig,fb n.k..akipata dem mpya,akiachwa,akitongozwa khaa...!zinawatoshaga wenyew kw kweli
 
Back
Top Bottom