Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Hii ndo kauli ya Ney wa mitego, Mr_Nay Baba wa watoto watatu... Sina #Mke I mean #Sijaoa na Cna mahusiano ya kimapenzi na Mwanamke yoyote Yule... Kati ya niliozaa nao. Nawapenda watoto wangu nawaheshim mama zao.. #SingleBoy am in love with my #son and daughters... #Rishma_CurtisMunie Happy Sunday
Maoni yangu sasa:
Enyi wadada mnaojipeleka na kujitongozesha kwa hawa wasanii mkae mkijua hawana true love awa mtaishia kuchezewa na kutemwa,nina ushaidi kuna msanii mkubwa TZ tulimuita kwenye show,akaanza kusema tumtafutie na demu mkarii kwa gharama zetu ,mi nikaona anizingua.
Hivyo mtaishia kuzalishwa na kupewa ngoma tu,amkeni mnapangwa na kubadilishwa kama nguo.