Ney wa Mitego ajinunulia gari mwenyewe kama zawadi ya siku ya kuzaliwa kwake

Ney wa Mitego ajinunulia gari mwenyewe kama zawadi ya siku ya kuzaliwa kwake

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Jana ilikuwa ni Siku ya Kuzaliwa kwa Mwanamuziki Ney wa Mitego na aliamua kufanya sherehe kwa mara ya kwanza kusherehekea siku hiyo kwa vile huu ndio mwaka wake wa kwanza kuwa na mafanikio katika muziki , Ney aliandika haya katika profile yake

"Nimejinunulia Gari Aina ya Murano Kama zaiwadi ya Birthday yangu , Limenigharimu Shilingi Mil 36 za Kitanzania , ni la Mwaka 2007 so bado ni Jipya Kabisa, One Love kwa mashabiki wangu
 
La mwaka 2007 sasa ni jipya vipi? na next birthday jipe zawadi ya kukutana na dentist, sawa?
 
Na lile alilotudanganya kamnunulia demu wake kumbe ni la demu kanunuliwa na mchizi mwingine
 
Nani amnunulie wakati anaimba shombo tupu?

Taarabu ngumu
 
Gari ya mwaka 2007 anasema ni mpya?
R.I.P Me.....🙁
 
Hivi huyu chief kiumbe anapata nini kwa wasanii mpaka awanunulie magari?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hahaha sasa mwaka 2007 hilo TRA hawakucharge kodi kama gari kukuu.Hahahaha wasanii wetu kweli huwa wananipa raha.
 
hizi nyimbo zake za kubwatabwata apate wapi jeuri hiyo? ananikumbusha nyumba ya wema sepetu.
 
Hawa wasanii hijisifu sana.baadae wakiugua au wakifa hata pesa ya kusafirisha familia zitachangisha wananchi
 
hizi nyimbo zake za kubwatabwata apate wapi jeuri hiyo? ananikumbusha nyumba ya wema sepetu.

acheni unafiki nyie ney ana deal nyingi ikiwemo za matangazo kama airtel na hatujui ni kiasi gani amelipwa so mwacheni ayafulahie maisha bwana mna matatizo gani wakuu?!!!!!
 
Hawa wasanii hijisifu sana.baadae wakiugua au wakifa hata pesa ya kusafirisha familia zitachangisha wananchi

acha wawachangie mkuu kwani ni maisha yao au ni maisha yako kwanza unasema wanachangiwa wewe ulishawahi kuchangia hata kwa msanii mmoja acheni wivu usiokuwa ni msingi jamani!!!!!!
 
Back
Top Bottom