snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,437
- 2,043
kamuulize mwenyewe!
Ney wamitego anakufanyaga nini wewe ?
Mana naona una wabwatukia wenzako kama wewe ndo una uchungu sana kuliko chief kiumbe anae wanunulia !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kamuulize mwenyewe!
Umeongea point sana mkuu,kuna watu hawana uwezo hata wa kununua baiskeli lakini ndio wa kwanza kuponda wengine,acha maisha uaendelee tu asiye na kitu amponde mwenye kitu.
kuna wengine mpo humu mnamdis ney kununua gari la 2007 wakati nyie mnatembea kwa miguu ndio africans hatuendelei sababu sio rushwa au matumizi mabaya ya madaraka tatizo kubwa hatuna akili na wivu wa kijinga hata mweusi mwenzetu akinafanikiwa!!!!!
Umeongea point sana mkuu,kuna watu hawana uwezo hata wa kununua baiskeli lakini ndio wa kwanza kuponda wengine,acha maisha uaendelee tu asiye na kitu amponde mwenye kitu.