Ney wa Mitego ajinunulia gari mwenyewe kama zawadi ya siku ya kuzaliwa kwake

Umeongea point sana mkuu,kuna watu hawana uwezo hata wa kununua baiskeli lakini ndio wa kwanza kuponda wengine,acha maisha uaendelee tu asiye na kitu amponde mwenye kitu.

Tatizo ni kujitangaza,wangapi wana magari na hawajitangazi?na kwa ufupi ni kuwa watu hapa wanaponda sio sababu ya kuwa au kutokuwa na uwezo bali ni tabia ya mambo yako binafsi kuyafanya ni ya jumuia sasa kununua gari kwake kunasaidia nini kwa watu wengine,hapa kila mtu akitangaza alichokifanya basi server za JF zitazidiwa,watangaze na kiwango cha elimu yao,nyumba zao,wake zao n.k si kujitangaza ni ujiko
 
kuna wengine mpo humu mnamdis ney kununua gari la 2007 wakati nyie mnatembea kwa miguu ndio africans hatuendelei sababu sio rushwa au matumizi mabaya ya madaraka tatizo kubwa hatuna akili na wivu wa kijinga hata mweusi mwenzetu akinafanikiwa!!!!!

Mkuu nilidhani utasema watu wanatembea kwa ulimi!!! Kumbe miguu!!? Kwani wewe mkuu unapoenda msalani unaingia na gari ama unatembea kwa miguu?!!
 
Me ndo mana nawakubali sana AY na FA hawanaga ujinga huo wa watoto wa manzese na yule mwenzao mwingine wa tandale'
 
Umeongea point sana mkuu,kuna watu hawana uwezo hata wa kununua baiskeli lakini ndio wa kwanza kuponda wengine,acha maisha uaendelee tu asiye na kitu amponde mwenye kitu.

Tupendane jamani kama ni yake au kasema uongo ni atakua anaidanganya nafsi yake.

Mananikumbusha Marehem Remmy Ongala alikua ana hiace yake mbele kaiandika" GARI BAYA" afu kwa nyuma kaandika "BABA YAKO ANAYO"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…