Ney wa Mitego amuuliza Idris Sultan mil. 500 zimeishaje?

Ney wa Mitego amuuliza Idris Sultan mil. 500 zimeishaje?

Kuishi na madam kwa siku moja tu matumizi yake hayashuki milioni siku za kawaida, weekend ni million 5, wapi na wapi sepetunga atoke na mdogo wake aliemzidi miaka mingi unless kuna mpunga wa maana,,,,, kifuatacho hapa ni stress
 
Alizawadiwa hiyo nyumba na mwarabu familia ya jamaa wa furniture centre sikuhizi GSM ....

Swali jiulize huo urafiki wa mwarabu na mbongo hadi kupeana ghorofa wapi na wapi
Huyo mwarabu juzi ameonekana China akiwa na Wema ambaye ni x shem wake.
 
Milioni 500 nyingi mjue......ama kweli Papuchi is a fwacking sucker.
 
Alifikiria kufuatwa na wanawake lukuki tena wenye majina ni kupendwa,ila akipata tena hatarudia!!!
Ubaya ni kuwa bahati haiji mara mbili.
Labda bahati imuonee huruma au alizobakisha aanzishe mradi anaweza akatoboa
 
sijui alinunua ama kukopeshwa,lakini mnaweza kukadiria ni kiasi gani..Location:Mbezi Beach
Idris-akiwa-kwenye-nyumba-yake.jpg
nina ubuyu wa kutosha kuhusiana na hizi nyumba kwa maana zipo kama apartments pale round about ya kuelekea girrafe..ila ngoja niweke hakiba ya maneno
 
Back
Top Bottom