Tatizo liko wapi? Nimemsikiliza majuzi pia wakati anahojiwa na Zamaradi na pia nimemsikia leo, HUYU JAMAA ni kaamua tu kutengeneza image ya kisanii kama bad boy, ila anaonekana ni mtu poa sana! Yaani Emmanuel Elibariki ni mtu tofauti na Nay wa Mitego. Ni mmoja ya wasanii wachache wanaojua kufanyiwa interview na akajibu majibu yenye point.
Kiufupi, ni mmoja ya wasanii wachache wanaojitambua.
Nimebadili kabisa mtazamo wangu kuhusu huyu jamaa, nilijua ni mkorofi kama anavyojinadi ktk nyimbo zake.