Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tatizo lako unatokwa na mapovu bila ya kuwa na Uchunguzi,kwa nin hana hizo hela wakat kataja mpk vyanzo vya mapato?
unalipwa?Mkuu tatizo lako unatokwa na mapovu bila ya kuwa na Uchunguzi,kwa nin hana hizo hela wakat kataja mpk vyanzo vya mapato?
Mwenzako anaishi kiakili wewe.unafikiri kutembelea gari ya kubana mafuta ndo hana hela?View attachment 325924 Mtu mwenye mali za bilioni moja hawezi tembelea gari kama hii ya kubana mafuta... Usicheze na bilioni, ukiwa na hiyo mali huwezi kuishi kimawazo mawazo...
Masahihisho kidogo boss...tani ya cement ni mifuko 20 na siyo mifuko 100 so tan 2 ni mifuko 40..haya muendelee kubishana nilikuwa napita tu..Tuje kwenye issue ya kujenga nyumba ya vyumba vitatu Milioni 200. Mpaka hapo nishajua kuwa unakaa kwa dada yako. Maximum nyumba ya vyumba vitatu, sitting room , dining, study room, na tv room ni Tofali 5000 kuanzia msingi mpaka kuimaliza kabisa. Tofali moja ni 1000 hiyo bei ya kigamboni huko kwingine ni 850. Jumla ni milioni 5. Cement haiwezi kuzidi tani 2 kila tani mifuko mia ya cement na kila mfuko kwa bei ya kiwandani ni 12500. Jumla milioni 25. Weka milioni 10 za kokoto na mchanga weka milioni 7 za bati weka na 20 milioni za finishing na 10 milioni za fundi. Hiyo ni gharama ya Nyumba ndogo ya kisasa yaani ya Kifahari.
LETA HUO MCHANGANUO WAKO WA THREE BEDROOM MILIONI 200
Punguza ku kariri maisha alafu pia weka chuki pembeni kuwa na pesa sana ndo utembelee gari ya mill 300 sereously???kumbe una thinking capacity ndogo kias hicho???Em Taja hizo gar za 10MUnajua unavyoambiwa kitu usikiingize directly kwenye akili Kama kilivyo, changanya na zako kisaikolojia tu huyu mtu wa majigambo sasa kwa bilioni moja angakuwa anaendesha hivi vigari vya chini ya 10m changanya na zako sajabu wewe ni moja wa watu walioamini ile nyumba yake alijenga kwa 200m,,ila anyway labda kashawapata watu kwenye elimu level zake wanaomwaini
Unaweza ukawa 'worth tzs 1b' lakini kwenye akaunti huna tzs 100m nafikiri unajua kivipi ni hivi unaweza kuwa na asset na biashara zenye thamani hio. Sasa kwa hali hio huwezi kuvamia tu gari la tzs 70m au 100m.Unajua unavyoambiwa kitu usikiingize directly kwenye akili Kama kilivyo, changanya na zako kisaikolojia tu huyu mtu wa majigambo sasa kwa bilioni moja angakuwa anaendesha hivi vigari vya chini ya 10m changanya na zako sajabu wewe ni moja wa watu walioamini ile nyumba yake alijenga kwa 200m,,ila anyway labda kashawapata watu kwenye elimu level zake wanaomwaini
Unaweza ukawa 'worth tzs 1b' lakini kwenye akaunti huna tzs 100m nafikiri unajua kivipi ni hivi unaweza kuwa na asset na biashara zenye thamani hio. Sasa kwa hali hio huwezi kuvamia tu gari la tzs 70m au 100m.
Punguza ku kariri maisha alafu pia weka chuki pembeni kuwa na pesa sana ndo utembelee gari ya mill 300 sereously???kumbe una thinking capacity ndogo kias hicho???Em Taja hizo gar za 10M
Kuna kitu kinaitwa perception, perception yako is in some kind of a wastrel manner, don't open that trash bin if your mind is an empty toilet prove in Nina chuki, prove it nmekariri , answer in a realistic facts realistic reality don't reply with no facts
hio post niliotoa ni simple lakini akili yako iko too shallow to understand. unavyoona Mark Zuckerburg ana worth $44b unafikiri anazo hizo 44b kwenye akaunti?Duh mkuu naona unatokwa povu nijibu kwa facts sio bla blas ,, kapitie hata facts za return on asset, equity na investment How can u have 100m in cash and make it relevant for the other assets be 900 m worth,, boy you need a real understanding on this things hivi vitu sio vyakuropoka tu kama stori za team d na team a the next time reply with FACT
You are tripping men, una divert argument kwenda kwengine kwa kina mark zuck, tunamjadili nay hapa. Don't make an argument reach a conclusion with irrelevant facts, dig up and come back with some genuine facts reflecting the guy not others, kuja na facts sio this craphio post niliotoa ni simple lakini akili yako iko too shallow to understand. unavyoona Mark Zuckerburg ana worth $44b unafikiri anazo hizo 44b kwenye akaunti?
Eyouw boo boo kitty u tripping too niggy, hio range mwenyewe aliconfirm atatanunua sio kwamba analo, and how comes the dude kavuta Prado tx na hajawai kuonekana nayo barabarani for 13 weeks I mean seriously even for a test drive the guy hasn't been seen with what he claims he owns, that kind of shit is what he uses to make a kick out of people like you,,,,,go do some further research man mbona wenzie kina D na kina masanja wanatembea na BMW zao bila hofu huyu jamaa haitembelei, itakuwa kaazima apigie picha
too childish. im out.You are tripping men, una divert argument kwenda kwengine kwa kina mark zuck, tunamjadili nay hapa. Don't make an argument reach a conclusion with irrelevant facts, dig up and come back with some genuine facts reflecting the guy not others, kuja na facts sio this crap
too childish. im out.