Ney wa Mitego ana utajiri wa zaidi ya Bil.1?

Mkuu una akili finyu kama uyoga aisee,umeanza kuingilia maisha yangu tena kutoka kwa Nay?

Punguza povu kaka,next time ukiwa unapinga kitu uwe na evidence siyo kuropoka tu kaka!
Niingilie maisha yako wewe unayekaa kwa dada tena nyumba ya kupanga. Hapa nilipo najuta hata kwanini nilianza kureply post zako. Nisamehe bana sikutag tena na hii itakuwa ya mwisho.

NISAMEHE SANA KWA KUKUATTACK NA PIA NISAMEHE KWA KUSEMA NAY HANA BILIONI 1. Have a gud day Kayumba Primary School
 
Mkuu jamaa atakuwa vizuri nikikumbuka huo mpunga dah ni mwingi aisee kwa hapa bongo unakuwa vzr
 
Nenda Youtube watafute Bongo5 kuna Interview walimfanyia uone!
Hana show za nje unataka akienda amuage nani?.. Unless otherwise mkewa wa mtu labda da Neema billion moja mchezo nn kwa muziki gani?
 
Niingilie maisha yako wewe unayekaa kwa dada tena nyumba ya kupanga. Hapa nilipo najuta hata kwanini nilianza kureply post zako. Nisamehe bana sikutag tena na hii itakuwa ya mwisho.

NISAMEHE SANA KWA KUKUATTACK NA PIA NISAMEHE KWA KUSEMA NAY HANA BILIONI 1. Have a gud day Kayumba Primary School
''PIGANIA jambo kwa ajiri ya kupata FAIDA siyo SIFA,Kaa mbali na MALUMBANO yasiyo na maana maishani mwako''
 
Amesema anamiliki gari tatu za kutembelea ambazo ni Prado, Murano na ile gari ndogo iliyovunjwa kioo juzi, pia anamiliki coaster mbili, hiace na bajaji za kutosha kwa ajili ya biashara.
Amesema anamiliki viwanja, mashamba, maduka, saloon za kiume, nyumba anayoishi pamoja na nyumba ya ghorofa ambayo bado ipo katika ujenzi.
Ney ni moja ya wasanii wanaoweka wazi maisha yao.....juzi baada ya gari kuvunjwa kioo akasema kwa hasira siitengenezi bali wanangu watachezea, mimi nitaagiza mpya.
Sina uhakika wa yote anayosema iwapo anayo au la ila ninachojua jamaa ni moja kati ya watu wanaojituma na pia ana maisha mazuri yenye uhalisia na ndio chanzo ya 'jeuri' yake na wasanii wenyewe wanamtambua.
Kwa jinsi anavyowasema wenzake angekua choka mbaya wangeshamuweka wazi kitambo.
 
Vigari vitano.

Porte millioni 7
Murano millioni 27
Markx millioni 16
Ile nyingine milioni 18
Jumla millioni 68. Hizo gari tano zote zina thamani ya gari moja tuu Prado vx used.

Hakuna nyumba ya three bedroom yenye thamani ya millioni 200 kwa moja.

Ngoja tukusaidie sisi tuliowahi kujenga.

Three bedroom house maximum ni milioni 85 hapo jumlisha na bei ya kiwanja ( kwa waliojenga kuanzia mwenge kwenda tegeta, ubungo kwenda kimara, gongo la mbali (mboto) kwenda chanika.

Ghorofa moja ya two to three bedroom ni milioni 120 kama utatumia nguzo za matofali ya kulaza na milioni 150 mpaka 170 kama utatumia nguzo za zege. Soo huo utoto wa kudanganyana nendeni instagram.

NI WACHACHE SANA TUNAOWEZA KUSIMAMA KIFUA MBELE NA KUSEMA TUNA UTAJIRI WA BILIONI MOJA NA USHEE. RIZIKENI NA MNACHOKIPATA ACHENI US*****E
Waambie haooo wanaleta usanii kila siku kila saa
 
''PIGANIA jambo kwa ajiri ya kupata FAIDA siyo SIFA,Kaa mbali na MALUMBANO yasiyo na maana maishani mwako''

Kwahiyo wewe unapigania kwa sababu unalipwa na Nay. Ohk st. Kayumba primary school nimekuelewa na NISAMEHE TENA SAAANA KWA KUTAKA KUHARIBU PR & M STRATEGIES ZAKO.
 
6bff108854cff2e533e1e719ef55b117.jpg
 
What 1 billion?
Yaan kama ana nyumba 3 zipo kwenye strategic areas hapa town na ana account yenye more than 300mill anashindwaje kufikisha 1billion?
Acheni uvivu fanyeni kazi pesa ndogo hiyo kwa mtu kama yeye..!
 
Kwahiyo wewe unapigania kwa sababu unalipwa na Nay. Ohk st. Kayumba primary school nimekuelewa na NISAMEHE TENA SAAANA KWA KUTAKA KUHARIBU PR & M STRATEGIES ZAKO.
Nilipwe na nay kwa kukupa ukweli?Wach tabia za kike mkuu!

Mtu unapinga bila kuwa na evidence then ukubaliwe tu?labda mas***a wenzio ndo watakuelewa!

Mtu unatokwa na povu kwa nay kusema ukweli
 
Amesema anamiliki gari tatu za kutembelea ambazo ni Prado, Murano na ile gari ndogo iliyovunjwa kioo juzi, pia anamiliki coaster mbili, hiace na bajaji za kutosha kwa ajili ya biashara.
Amesema anamiliki viwanja, mashamba, maduka, saloon za kiume, nyumba anayoishi pamoja na nyumba ya ghorofa ambayo bado ipo katika ujenzi.
Ney ni moja ya wasanii wanaoweka wazi maisha yao.....juzi baada ya gari kuvunjwa kioo akasema kwa hasira siitengenezi bali wanangu watachezea, mimi nitaagiza mpya.
Sina uhakika wa yote anayosema iwapo anayo au la ila ninachojua jamaa ni moja kati ya watu wanaojituma na pia ana maisha mazuri yenye uhalisia na ndio chanzo ya 'jeuri' yake na wasanii wenyewe wanamtambua.
Kwa jinsi anavyowasema wenzake angekua choka mbaya wangeshamuweka wazi kitambo.
Cc😀anny
 
Niingilie maisha yako wewe unayekaa kwa dada tena nyumba ya kupanga. Hapa nilipo najuta hata kwanini nilianza kureply post zako. Nisamehe bana sikutag tena na hii itakuwa ya mwisho.

NISAMEHE SANA KWA KUKUATTACK NA PIA NISAMEHE KWA KUSEMA NAY HANA BILIONI 1. Have a gud day Kayumba Primary School
Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu.
 
Nilipwe na nay kwa kukupa ukweli?Wach tabia za kike mkuu!

Mtu unapinga bila kuwa na evidence then ukubaliwe tu?labda mas***a wenzio ndo watakuelewa!

Mtu unatokwa na povu kwa nay kusema ukweli
Kishakuwasha naona unahamu kizimuliwe ma PIRUNGU KAMNYERENYOKO CHIKUMA.

MKUU NISAMEHE SANA SIHUSUDISHI MAPENZI YA JINSIA MOJA. KAMA UNA HOBBY YA KUZIBULIWA MARINDA TAFUTA KUNA WAZENJI HUMU AU NENDA KWENYE JUKWAA LA WAKENYA UTAWAPATA WA MOMBASA.

INAELEKEA MZAZI WAKO WA KIUME KAKURITHISHA TABIA MBAYA SANA. Ila inatibika sio ugonjwa jaribu kuona wataalam wa saikolojia
 
Ok mkuu umeshinda!
 
Tatizo liko wapi? Nimemsikiliza majuzi pia wakati anahojiwa na Zamaradi na pia nimemsikia leo, HUYU JAMAA ni kaamua tu kutengeneza image ya kisanii kama bad boy, ila anaonekana ni mtu poa sana! Yaani Emmanuel Elibariki ni mtu tofauti na Nay wa Mitego. Ni mmoja ya wasanii wachache wanaojua kufanyiwa interview na akajibu majibu yenye point.
Kiufupi, ni mmoja ya wasanii wachache wanaojitambua.
Nimebadili kabisa mtazamo wangu kuhusu huyu jamaa, nilijua ni mkorofi kama anavyojinadi ktk nyimbo zake.
Mimi na wewe tuna wazo moja ndugu.
Nay wa Mitego ni tofauti na Emmanuel Elibariki. Ni kati ya wasanii wachache wenye nyumba zao binafsi za kuishi na anaishi kwake. Wengine wachache wamejenga nyumba nje ya mji lakini wamepanga Sinza na Kijitonyama. Huyu Nay anajitambua, muziki ni kazi. Ingekuwa madongo anayowatupia wenzake ni uongo nadhani wangeshamdharau ama kumshitaki lakini anaimba ukweli mtupu. Mfano, Chief Kiumbe kakiri kwamba kampa gari Sheta (Baba Kaila). Sasa hapo uongo uko wapi? Si kweli kwamba Ray Kigosi anajichubua ngozi ili awe mweupe?
 
Mkuu mbona unatokwa na povu bipa kuwa na ushahidi?

Hilo hapo hilo prado unalosema hana!

Punguza wivu kaka nyumba ya vyumba vitatu ya 200M hujawahi kuona?

View attachment 326630

Kwahiyo kupiga picha na Prado ndo proof ya kwamba ni yake? Mbona Shetta anawekaga picha za Range anasema 'my new ride' ambalo Nay anasema kapewa na Chief Kiumbe?
 
Mkuu mbona unatokwa na povu bipa kuwa na ushahidi?

Hilo hapo hilo prado unalosema hana!

Punguza wivu kaka nyumba ya vyumba vitatu ya 200M hujawahi kuona?

View attachment 326630
We kisambo unamtetea ney kwa vitu ambavyo vipo waz kabisa hiv kama Ney kwa mziki wake ana billion moja Ay?.. Jide?.. Dimond.. Prof J si watakuwa na trillions ov money kama ni muziki tu bila kubeba sembe...
 
Tena alivyosema sio billion 1 tu, alisema ni zaidi ya billion 1
 
Back
Top Bottom