Ney wa Mitego apaokonywa magari 2 ya mkopo, ni baada ya kushindwa kulipa

Ney wa Mitego apaokonywa magari 2 ya mkopo, ni baada ya kushindwa kulipa

Sikien shetan akikukopesha deni lake..UTALIPA TUUUU KAMA SIO LEO NI KESHO.

yuko wapi Ney alomkufuru Mungu hahahah naKanisa ??? .

Achen Mungu aitwe Mungu.
 
Kumbe nini alishaona kwamba jamaa hana kitu,show off nyingi akaamua ajikatae mapema,kweli mademu wanajua kunusa upepo wa fedha.
 
Back
Top Bottom