magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Nay anaweza akawa nh mnafiki ila sidhani kama anafikia level zako.Sifurahii yeye kulala mahabusu ila sijawahi kukubali kazi zake huyu bwana.
Mnafiki tu kama Bashite anakanyaga migongo ya wenzie wanyonge ili afikie malengo yake, nyimbo zake zimejaa matusi na kejeli tu na personal attacks kwa innocent people bila kuwa na consciousness yeyote but this times kakanyaga makusudi pabaya kwa Ngosha....maji ataita mma!!. He is simply a snitch.
Sometimes madikteta yana raha zake bhana. Ngosha get that punk ass nigga.
ROMA is the real deal.