Nay anaweza akawa nh mnafiki ila sidhani kama anafikia level zako.Sifurahii yeye kulala mahabusu ila sijawahi kukubali kazi zake huyu bwana.
Mnafiki tu kama Bashite anakanyaga migongo ya wenzie wanyonge ili afikie malengo yake, nyimbo zake zimejaa matusi na kejeli tu na personal attacks kwa innocent people bila kuwa na consciousness yeyote but this times kakanyaga makusudi pabaya kwa Ngosha....maji ataita mma!!. He is simply a snitch.
Sometimes madikteta yana raha zake bhana. Ngosha get that punk ass nigga.
ROMA is the real deal.
Umetumwa wewe sio bureSifurahii yeye kulala mahabusu ila sijawahi kukubali kazi zake huyu bwana.
Mnafiki tu kama Bashite anakanyaga migongo ya wenzie wanyonge ili afikie malengo yake, nyimbo zake zimejaa matusi na kejeli tu na personal attacks kwa innocent people bila kuwa na consciousness yeyote but this times kakanyaga makusudi pabaya kwa Ngosha....maji ataita mma!!. He is simply a snitch.
Sometimes madikteta yana raha zake bhana. Ngosha get that punk ass nigga.
ROMA is the real deal.
Imetoka ikirudi pancha....Ndio inaweza kuwa bye bye hiyo
Hivi unadhani kushindana na serikali ni kitu rahisi hivyo?Kesi rahisi sana kushinda Mahakamani..mi nitamtetea bure
Nadhani wamestukia mkulu hatishiwi nyau. Ukimtukana utapata unachostahili kwa mujibu wa Sheria na taratibu za Nchi. Kwa hili cyber crime act inahusika. Msitegemee kuna kamati itaundwa. Heshimuni mamlaka. Kosoa kwa hoja sio matusi. Tena hoja zenye Mashiko.hawa wengi wao ni [HASHTAG]#wapo[/HASHTAG]
Nadhani wamestukia mkulu hatishiwi nyau. Ukimtukana utapata unachostahili kwa mujibu wa Sheria na taratibu za Nchi. Kwa hili cyber crime act inahusika. Msitegemee kuna kamati itaundwa. Heshimuni mamlaka. Kosoa kwa hoja sio matusi. Tena hoja zenye Mashiko.
We si shabiki wa taarab, Ney haimbi taarab haiwezi tokea ukamkubali, about Roma labda ni jamaa yako ndo maana unamwona ni real deal.Sifurahii yeye kulala mahabusu ila sijawahi kukubali kazi zake huyu bwana.
Mnafiki tu kama Bashite anakanyaga migongo ya wenzie wanyonge ili afikie malengo yake, nyimbo zake zimejaa matusi na kejeli tu na personal attacks kwa innocent people bila kuwa na consciousness yeyote but this times kakanyaga makusudi pabaya kwa Ngosha....maji ataita mma!!. He is simply a snitch.
Sometimes madikteta yana raha zake bhana. Ngosha get that punk ass nigga.
ROMA is the real deal.
Mbona hata ye anatukana?!Hizi sheria za ki dictator hazina maisha marefu
Haziwezi shindana na nyakati kabisa
Tegemea anguko la hizo sheria maji yamezidi unga!!
Ike mkono nikasajiliwe kwa wale wanaolipwa buku 7.Mbo
Mbona hata ye anatukana?!