Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafikiri wote wanaodai katiba ni CDM mbona CCM ni wengi tu.Huyu jamaa nasikia ni chadema hivi ni kweli au
Hata mimi sifahamu, ila anaonekana ni mzalendo sana.Huyu jamaa nasikia ni chadema hivi ni kweli au
Halafu usimame nalo Buza, Weee !!!Unafikiri wote wanaodai katiba ni CDM mbona CCM ni wengi tu.
kukataza ujio wa katiba ni sawa na kusimama na sinia la pilau kwenye umati wenye njaa kali.
HakikaMATAGA wana jisahau sana, wanavyoona sisi tunamsifia SSH wanahisi kwamba sisi ni CCM. Hawajui, sisi tunamuunga mkono SSH kwa jambo moja kuu, kuwanyoosha CCM wenyewe.
Tuweke record sawa hapa kwenye swala la Katiba mpya;
Kwenye swala la Katiba mpya, sisi ni WATANZANIA wenye nia njema kwa taifa letu, na hatupo CCM wala UPINZANI. Na atakaepinga Katiba mpya basi tunamtangaza adui wa taifa (Iwe hata kama ni kiongozi wa upinzani, haijalishi, sisi tutazaa nae).
Katiba ya zamani ina mapungufu ya kuruhusu kiongozi dikteta kufanya atakavyoHapo ukimuuliza hiyo katiba ya zamani ipoje hana anachojua,hizi ni harakati za pimbi.
Endeleeni kupiga zogo mkuu wa nchi keshatoa msimamo...
Kama kuna CCM yeyote yule anaeitaka katiba mpya kama jinsi inavyopigiwa chapuo na CHADEMA wengi, ujue kabisa hiyo ni Mamluki tu. CCM wa kweli hatuoni umuhimu wa hiyo katiba kwa Sasa.Unafikiri wote wanaodai katiba ni CDM mbona CCM ni wengi tu.
kukataza ujio wa katiba ni sawa na kusimama na sinia la pilau kwenye umati wenye njaa kali.
Samia kawanyooshaje CCM?MATAGA wana jisahau sana, wanavyoona sisi tunamsifia SSH wanahisi kwamba sisi ni CCM. Hawajui, sisi tunamuunga mkono SSH kwa jambo moja kuu, kuwanyoosha CCM wenyewe.
Tuweke record sawa hapa kwenye swala la Katiba mpya;
Kwenye swala la Katiba mpya, sisi ni WATANZANIA wenye nia njema kwa taifa letu, na hatupo CCM wala UPINZANI. Na atakaepinga Katiba mpya basi tunamtangaza adui wa taifa (Iwe hata kama ni kiongozi wa upinzani, haijalishi, sisi tutazaa nae).
Katiba mpya ni kwaajili ya watanzania na vizazi vyetu vijavyo, sio kwaajili ya CCM, CHADEMA, ACT, TLP wala kwaajili ya Mzee Rungwe.
Sinia la pilau [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Unafikiri wote wanaodai katiba ni CDM mbona CCM ni wengi tu.
kukataza ujio wa katiba ni sawa na kusimama na sinia la pilau kwenye umati wenye njaa kali.