Ney wa Mitego awa Msanii wa kwanza wa Tanzania kuuona umuhimu wa Katiba mpya, atoa angalizo

Ney wa Mitego awa Msanii wa kwanza wa Tanzania kuuona umuhimu wa Katiba mpya, atoa angalizo

Unafikiri wote wanaodai katiba ni CDM mbona CCM ni wengi tu.

kukataza ujio wa katiba ni sawa na kusimama na sinia la pilau kwenye umati wenye njaa kali.
Kusimama na sinia la pilau kwenye umati wenye njaa kali😀😀😀😀😀😀Mkuu comment moja ya Kibabe sana.
 
Back
Top Bottom