Ney wa Mitego awa Msanii wa kwanza wa Tanzania kuuona umuhimu wa Katiba mpya, atoa angalizo

Unafikiri wote wanaodai katiba ni CDM mbona CCM ni wengi tu.

kukataza ujio wa katiba ni sawa na kusimama na sinia la pilau kwenye umati wenye njaa kali.
Kusimama na sinia la pilau kwenye umati wenye njaa kaliπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Mkuu comment moja ya Kibabe sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…