Ney wa Mitego awachana JK na Zitto

Ney wa Mitego awachana JK na Zitto

kama mtu akipata wakati wakisikiloza huo wimbo atagundua kuwa Ney ameamua kuropoka kuanzia swala bss hadi swala la zitto.

Mh Zitto alichofanya nikujaribu kuwasaidia wasanii kupata haki zao kipitia miito ya sauti na ni wazi hawakuonesha ushirikiano kwa kujitoa ili kushinikiza kupandiahiwa malipo kutokana na nyimbo zao, na kwa hili Ney alipaswa kuwa na shukrani maana wasanii walipaswa kuishinikiza serikali ili kuisukuma kampuni za simu na katika hili zitto hakupaswa kulaumiwa kabisa bali kushukuriwa.

Ney ana mkashifu zitto as if zitto ni waziri wa kushughulikia maswala yao.
Ney ukimaikiliza humo ni wazi utagundua hajui anacho kisema na niwazi hajui kwanini tulipewa masikio mawili na mdomo mmoja.

sijuagi watu wanamsifiaga kwa lipi eti nae mwana hip hop!! ukijifanya unajiamini sana mwisho wa siku unaonekana chizi
 
Huyu Neema wa Mitego mi simkubali kabisa wala simuelewi!!Alibahatisha ile ngoma ya 'waliopanda wameshuka' nyingine zote simuelewi naona analazimisha tu Mziki hauwezi,kibaya hataki kubadilika anabebwa na promo za Ruge,ye kila siku kutajataja majina tuu mistari haina vinaa sauti mbaya ka kameza panya,anadis watu mara nyingine kwa vitu visivyo na ushahidi wakati hiphop ni Reality ye anaidis mpaka hiphop yenyewe wakati kapokea tuzo ya kupewa ya Wimbo bora wa hiphop anajielewa kweli huyu?!Tupa kule.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Yaani mnajadili jitu ambalo limewah kumtukana hadi baba yake mzazi na mama
 
We ndo hujui ukisemacho,Rose Muhando ndo alieeongoza kwa kupewa M27 kwa nyimbo zake kwa mwez je nayo n kaz ya Zitto kabwe?acha unaz ww,Ney kawachana.

Kiboko jifunze kusoma kwa makini kabla ya kujibu kitu mkuu
Yani hapa umeongea mengine na mimi nimeongea mengine.

Hivi ni kweli Mh zitto alistahili kashifa kutoka kwa ney? Ni kweli rose anaongoza kwa kulipwa na sisi tunapenda aendelee kulipwa lakini maslai haya yaendane na kazi zao naukijaribu kuangalia utagundua kuwa ni wasanii wachache wananufaika na mauzo ya ringtone na wamekuwa wakilalamika hata Niki wa pili alisikika akisema wanachopewa akiendani na mauzo hayo,pengine hata rose angepata zaidi ya hapo na wakina Diamond.

Na alichofanya zitto nikujaribu kushinikiza mitandao ya simu kuwapa stahili zao kwa kuwambia wajitoe hili mazingumzo yafanywe upya lakini wasanii hawakuonesha ushirikiano? Hivi ulitaka zitto afanye nini? Pamoja na haya yote ney anamkashifu? Hivi ni mara ngapi zitto amekuwa akiwapigania wasanii kupata haki zao? Hivi ney ana sahau hata hilo?

Ney ni mropokaji sana. Sitaki kuingia kwenye swala la jk maana najua huko ndio Ney kapwaya sana na kuna jinsi angefikisha ujumbe wake lakini kashindwa.

Swala la BSSS ndilo limemuonesha ni mahili wa kuropoka
 
Last edited by a moderator:
yan ili jamaa jinga,pu.uzi,lisilojielewa.Et msanii bora wa 'hiphop',kwel tz n zaid ya uijuavo!najarb kuimagine IQ ya waliompgia kura!uyu c akaimbe2 na kna isha mashauz!
 
kama mtu akipata wakati wakisikiloza huo wimbo atagundua kuwa ney ameamua kuropoka kuanzia swala bss hadi swala la zitto.

Mh zitto alichofanya nikujaribu kuwasaidia wasanii kupata haki zao kipitia miito ya sauti na ni wazi hawakuonesha ushirikiano kwa kujitoa ili kushinikiza kupandiahiwa malipo kutokana na nyimbo zao, na kwa hili ney alipaswa kuwa na shukrani maana wasanii walipaswa kuishinikiza serikali ili kuisukuma kampuni za simu na katika hili zitto hakupaswa kulaumiwa kabisa bali kushukuriwa.

Ney ana mkashifu zitto as if zitto ni waziri wa kushughulikia maswala yao.
Ney ukimaikiliza humo ni wazi utagundua hajui anacho kisema na niwazi hajui kwanini tulipewa masikio mawili na mdomo mmoja.

mkuu haujui chochote,zitto alikua anatafuta njia tu,nae kaanzisha kampuni ya miito ya simu akishirikiana na ruge..
 
Kwenye ngoma yake mpya ya 'Salamu zao,' mkali anayesifika kwa kutopindisha maneno anamwambia Kikwete atatue mgogoro wa gesi Mtwara haraka na Zitto aachane na Bongofleva.


Huo wimbo kama sikosei unaitwa "salamu yao/yako" niliusikia capital redio. Mtizamo wangu ni kuwa , Ney atajipunguzia mashabiki. Afu huo wimbo mashairi yake yanawalakini. Sio kuwa amemsema Zito na JK tu..hata Madam Rita yupo pamoja na Bunge. Walau angetumia tafsida lkn amekuwa too open na kutaja majina ya watu. Nafikiri apunguze Dharau na Majivuno vinginevyo atapotea kwenye game...chipukizi ni wengi sana kwenye game...awe keen enough

c.c Radhia Sweety Ruttashobolwa matumbo
 
Yaani mnajadili jitu ambalo limewah kumtukana hadi baba yake mzazi na mama

Hapo chacha...mdomo wake akiongea tu unahisi kama anataka kutoa tusi..ana dharau sana bwana mdogo...
 
Simpendi ila katika Gesi amenigusa lazima tuambiwe wanatuacha vp
"Vox popoli vox dei"
 
Nijuavyo mimi mgogoro wa Mtwara ulishatulia maana wenye mapembe walishakatwa, na gesi ITATOKA!...huo wimbo ushapitwa na wakati!
Shida naiona kwako kwa kutoleta ile hotuba ya P.Kagame juzi!

Hotuba ilitangazwa na Kigali FM 100.2. Sidhani kama niliahidi kuwa nitaleta hotuba yake hapa JF. Nilichokifanya ni kutoa taarifa kuwa Kagame atalihutubia Taifa kupitia hiyo redio. Waliofuatilia wamemsikia.
 
kwani huyu binti neema wa mitego bado hajaolewa na nikki mbishi?
 
Kwenye ngoma yake mpya ya 'Salamu zao,' mkali anayesifika kwa kutopindisha maneno anamwambia Kikwete atatue mgogoro wa gesi Mtwara haraka na Zitto aachane na Bongofleva.

Uneducated hata kama akisema jema la kujenga bado litaoneka unwise/la kipumbavu. Utasikia. " Ahhhh muhuni tu mzee achana nae"
 
Braza tembo(ney) punguza mdomo mjin hapa watoto wako ju we utaskzwa na mapimbi 2naskizlza mistar kwenz co ngonjera zako hzo andka mashair yeny akili kama msodoki mtoto sum yule big up young killer msodoki 2po pamoja jembe
 
Back
Top Bottom