Ney wa Mitego kawatolea ngoma ''Kataa ndoa''

"Kataa ndoa, Linda uchumi"- kauli ya kihuni sana kukataa ndoa ndio kuruhusu ushoga na umalaya kuongezeka.

"Ndoa kwanza ,uchumi utajijenga wenyewe" -kwanza duniani ni njiani tunapita tyuu
Kama umeona kausha damu je.
 
Hoja zipo nyingi sana.
 
Chombo kizuri sana,sisi mabachela. Kuoa tushaoa sana sasa ni masingle faza.
Sisi mabachela.
 
Kia mtu na maisha yake, katu siwezi poteza nguvu zangu kumuaminisha mtu jambo, sio ndoa, sio dini, sio chochote.
 
1Timotheo 4:1 “Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani;

2 kwa unafiki wa watu wasemao uongo, wakichomwa moto dhamiri zao wenyewe;

3 wakiwazuia watu wasioe, na kuwaamuru wajiepushe na vyakula, ambavyo Mungu aliviumba vipokewe kwa shukrani na walio na imani wenye kuijua hiyo kweli”.
 
Hapo namba 3 wanaongelewa Watawa wa Kikatoliki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…