Ney wa Mitego: Magufuli akiniuliza nani hana marinda nitamjibu hivi

Ney wa Mitego: Magufuli akiniuliza nani hana marinda nitamjibu hivi

Wadau kuuliza si ujinga. Hapo kwenye marinda Ney kamaanisha nini?
Mkuu.
Ukiambiwa hauna marinda maana yake umeshafanywa nyuma hasa wanaume.
Marinda yaliyopo ni yale mamikunjo mikunjo iliyopo kwenye tundu.
 
Huyu Ney wimbo wake ushachuja anatumia kiki za kijinga ili uendelee kuwa hewani
 
Ney Ney usijaribu kumjibu hivyo mkuu, siku hizi wanaume wa mijini hatuvai tena zile suruari zenye marinda na hata mkuu unaweza kumkuta kavaa suruari isiyo na marinda mana zimepitwa na wakati, sasa hofu yangu ni pale utakapomwambia mkuu "mfano wewe(mkuu) hauna marinda" kisa tu amevaa suluari isiyo na marinda, kitakachokutokea hapo hadi watu waje kuelewa ulikuwa unaamanisha nini
 
Kwani kabla ya Ney kufafanua maana ya hilo neno,watu walikuwa wanajua maana ipi...??
 
Back
Top Bottom