Ney Wa Mitego Ndiye Stan Bakora ?

Ney Wa Mitego Ndiye Stan Bakora ?

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2008
Posts
8,191
Reaction score
8,490
huyo Stan ndiye anayepigiana simu na Mkude Simba yeye akiwa mjini na sauti zao zinafanana sana hawa jamaa!

kuna jamaa wanadai ndiye mwenyewe, kuna ukweli wowote?
 
Sio huyu anaeigizaga teja rafiki yake na sharo milionea
 
Stan bakora ni kijana fulani age ya 20s sio Nay wa mitego
 
Kwenye tangazo la fiesta clouds tv kilakitu kipo wazi

yule anaesema kama unanipenda njoo kwa bibi wanawake wa siku hizi mmekua waongo
 
Naye wataanza kumuita superstar, ha habhaaa hii ndio Tz
 
Sio huyu anaeigizaga teja rafiki yake na sharo milionea

umechanganya madesa wangu..anayeigizaga teja ni mkude simba aka Kitale ambaye huwa anamuigiza Nay ni kibwana mdogo hivi by age ni btn 18 -20,,natafuta link moja ya globaltv online walifanyiwa interview huko nikiiona nitaiweka
 
Nilimaanisha kitale mi ndio hua nadhani ni kitale kumbe sio
 
Back
Top Bottom