anafanya juu chini aongelewe,wahusika wa hayo mambo hawaongei ni vitendo tu
Huo anaiga tu hana lolote kutafta attention walioko huko huwa hawajitangazaji wako kimya
haaa hana ubavu wa kuwa illuminant maana kichwa chake hakijitoshelez... attention seeker tu yule
Huo anaiga tu hana lolote kutafta attention walioko huko huwa hawajitangazaji wako kimya
njaa inasumbua na kuogopa kusahaulika,we ushawahi kuona kina JAY Z wakiwa na kiherehere kujitangaza?Kweliii sasa anafikiria nini?
Kweliiiii
Kazi ipo hawa wasanii wetu hawa!!
njaa inasumbua na kuogopa kusahaulika,we ushawahi kuona kina JAY Z wakiwa na kiherehere kujitangaza?