Ney wa Mitego ni illuminati

Ney wa Mitego ni illuminati

The Wolf

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
9,412
Reaction score
20,685
Kwa wale ambao huwa wanafuatilia conspiracy theories za illuminati najua mtakubaliana na mimi kwamba huyu jamaa either ni member au yupo obsessed na illuminati, katika video take aliyopost(Diamond pia kai post) inaonyesha alama za Illuminati kama vile goat of mendes na nyinginezo

Pia katika video hiyo anasikikika akisema 966, na hata hash tag yake no #966 ambayo ukiigeuza hiyo nine juu chini unapata 666. Je mafanikio yake in ya nguvu za Giza?

Check hiyo teaser ya video ya ney afu uje ucomment mawazo yako
 

Attachments

  • 1408555961662.jpg
    1408555961662.jpg
    13.7 KB · Views: 1,262
  • 1408556116257.jpg
    1408556116257.jpg
    29.7 KB · Views: 587
anafanya juu chini aongelewe,wahusika wa hayo mambo hawaongei ni vitendo tu
 
..anaiga,hawezi abadani akawa mmoja wao,hana uwezo si kifedha wala kiakili.
 
Kweliii sasa anafikiria nini?



Kweliiiii



Kazi ipo hawa wasanii wetu hawa!!
njaa inasumbua na kuogopa kusahaulika,we ushawahi kuona kina JAY Z wakiwa na kiherehere kujitangaza?
 
Back
Top Bottom