Ney wa Mitego; niliumia sana moyo, dem wangu kufanya mapenz na kidume mwingine

Ney wa Mitego; niliumia sana moyo, dem wangu kufanya mapenz na kidume mwingine

Great Cbn

Senior Member
Joined
Jun 22, 2013
Posts
165
Reaction score
43
Ney akiwa anahojiwa katika TV moja hapa TZ, amesema hataweza kumsahau dem mmoja wa bongo katika mapenzi yao. Ney amesema dem wake alikua anampenda sana lakini alikua mlevi.

Dem huyo katika ulevi wake alikua akinywa tu ham ya tendo la ndoa inakua kubwa.Siku moja dem akiwa kibaha, akampigia simu ney ili wakutane, Ney siku ile akamkataza asinywe pombe lakin ye akanywa. Ney akawa anamsubir getto Dem akarud akiwa amelewa huku akiwa na ham ya kufanya tendo la ndoa, lakini Ney akaja kugundua papuch ya dem wake ina ...... za mwanaume mwingine(Inaonekana yule dem akulizishwa na yule mwanaume ndo maana bado alikua na ham) .

Ney baada ya kugundua ivo akamlazimisha wakaoge baada kuoga ndo waka DO.Ney aliamua kuachana na huyo gash kwasababu yule mwanaume mwingine alikua anamtukana na kujisifia kua kam'DO' mwanamke wake. Je, wewe ungemkuta dem wako katika hali iyo unge 'DO' au ungemuacha?
 
Haya mambo ya wasanii kuanika mambo yao ya ndani kwenye media si ya kiungwana. Just mtazamo wangu tu.
 
Du si huyu huwa anajifua kubwa hakwenda kupiga mtu??
 
nilijua mke kumbe dem tena dem chapombe pole yenu wazaifu wa wapenzi aka wageni wa mapenzi
 
Hizi interview nyengine hazina maantiki........
 
Hizi interview nyengine hazina maantiki........

Halafu siku hizi zimeshamiri sana, mwezi uliopita pia alisailiwa clouds fm mambo hayohayo, sasa sijui ndo wanatuonyesha nini hawa wanaojiita media plus vioo vya jamii?
 
Si ndo huyu aliimba nampenda demu wangu kuliko mama' angu!!!!!!
Teh teh teh
 
Si ndo huyu aliimba nampenda demu wangu kuliko mama' angu!!!!!!
Teh teh teh

Nadhani ndo huyo, lakini ktk hali ya kawaida mpenzi hawezi kuwa bora zaidi ya mzazi linapokuja suala la kuwaweka ktk mizani. Huenda alipotoka, tumsamehe bure.
 
Nadhani ndo huyo, lakini ktk hali ya kawaida mpenzi hawezi kuwa bora zaidi ya mzazi linapokuja suala la kuwaweka ktk mizani. Huenda alipotoka, tumsamehe bure.

Mama yake atakuwa amemsamehe...........wakati ndo huu sio mpaka mtu afe.
 
Ney akiwa anahojiwa katika TV moja hapa TZ, amesema hataweza kumsahau dem mmoja wa bongo katika mapenzi yao. Ney amesema dem wake alikua anampenda sana lakini alikua mlevi. Dem huyo katika ulevi wake alikua akinywa tu ham ya tendo la ndoa inakua kubwa.Siku moja dem akiwa kibaha, akampigia simu ney ili wakutane, Ney siku ile akamkataza asinywe pombe lakin ye akanywa. Ney akawa anamsubir getto Dem akarud akiwa amelewa huku akiwa na ham ya kufanya tendo la ndoa, lakini Ney akaja kugundua papuch ya dem wake ina ...... za mwanaume mwingine(Inaonekana yule dem akulizishwa na yule mwanaume ndo maana bado alikua na ham) .Ney baada ya kugundua ivo akamlazimisha wakaoge baada kuoga ndo waka DO.Ney aliamua kuachana na huyo gash kwasababu yule mwanaume mwingine alikua anamtukana na kujisifia kua kam'DO' mwanamke wake. Je, wewe ungemkuta dem wako katika hali iyo unge 'DO' au ungemuacha?

kweli lika mbabe ana mbabe wke

kubwa kuliko mapenzi hayana ubabe
 
neema wa mitego hajui kuimba anafoc kuimba bora angekua anamsaidia snura kujichubua
 
Nadhani ndo huyo, lakini ktk hali ya kawaida mpenzi hawezi kuwa bora zaidi ya mzazi linapokuja suala la kuwaweka ktk mizani. Huenda alipotoka, tumsamehe bure.

ni ktk kutafuta vina ndio maana akasema hivyo ila mama ana nafasi na umuhimu mkubwa kuliko mupenzi.
 
Ney akiwa anahojiwa katika TV moja hapa TZ, amesema hataweza kumsahau dem mmoja wa bongo katika mapenzi yao. Ney amesema dem wake alikua anampenda sana lakini alikua mlevi.

Dem huyo katika ulevi wake alikua akinywa tu ham ya tendo la ndoa inakua kubwa.Siku moja dem akiwa kibaha, akampigia simu ney ili wakutane, Ney siku ile akamkataza asinywe pombe lakin ye akanywa. Ney akawa anamsubir getto Dem akarud akiwa amelewa huku akiwa na ham ya kufanya tendo la ndoa, lakini Ney akaja kugundua papuch ya dem wake ina ...... za mwanaume mwingine(Inaonekana yule dem akulizishwa na yule mwanaume ndo maana bado alikua na ham) .

Ney baada ya kugundua ivo akamlazimisha wakaoge baada kuoga ndo waka DO.Ney aliamua kuachana na huyo gash kwasababu yule mwanaume mwingine alikua anamtukana na kujisifia kua kam'DO' mwanamke wake. Je, wewe ungemkuta dem wako katika hali iyo unge 'DO' au ungemuacha?

ni kweli hii story wala hajatunga dem mwenyewe alikuwa anakaa mitaa ya kiluvya,'_.kuna dogo mmoja alikuwa anamchukua lkn ney aliingilia kati kwa kumrubuni dem kama atakuwa video queen,dem kwa njaa ya umaarufu alikubali lkn jamaa akaanza kumtongoza na alikubaliwa lkn yule dem bado alikuwa na mapenzi na yule dogo so bado aliendelea kuwachanganya wote.)yule dogo alimua kubwaga mzigo baada ya kutishwa na ney.:hii story aliniadithia bwana mdogo mwenyewe kwan nilikuwa nasoma nae siku moja alirud akiwa na uzuni akaniambia ametishwa na ney km akae mbali na yule dem..nikimpata yule dogo nitawaabarisha vizuri nasikia anafanya kazi ktk wizara moja kwa sasa yupo nje kimasomo.
 
nilijua mke kumbe dem tena dem chapombe pole yenu wazaifu wa wapenzi aka wageni wa mapenzi[/QUOT

naye alimpora dogo flan hiv huyo dem,angeweka wazi mambo aliyomfanyia huyo dogo..tatizo alipenda asipopendwa ndo maana dema alikuwa anakamuliwa na yule dogo kwanza then ney.
 
Back
Top Bottom