Mkare_wenu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 1,714
- 448
Ni kwenye uzinduzi wa Video mpya ya Diamond.
#My Take - Naona sasa mastar wanaopondwa na Ney wameanza kumuelewa jamaa,wamegundua hana namna nyingine ya kula hapa town bila kuwataja wao.Yaani hana namna nyingine ya kuwaconvice mashabiki wamkubali bila kutumia udhaifu wa mastar kama ngazi ya kufika juu,so kama wewe ni star jiandae next time unaweza kuwa wewe...
View attachment 109793
Madam Rutha kweli age imeenda maana hiyo picha alivyotoka usono
atuachiage basi hawa vijana wajameni
Its madam ritha......bt ni kweli ulichosema
Madam Ritha kweli age imeenda maana hiyo picha alivyotoka uson
atuachiage basi hawa vijana wajameni
barafu shusha nondo basi na sie tujue, si unajua tenaMadam kazoea kusifiwa...ukijua chanzo cha kumwita Salama EBBS,utaajua kwanin amefanya juhudi ya kupiga picha na Ney...wakati akiwa Bukoba alisema hamjui wala hajawahi.kumsikia Ney....NB:Madam kazeeka ..aachane na Serengetiboys...vitamuua
Madam Ritha kweli age imeenda maana hiyo picha alivyotoka uson
atuachiage basi hawa vijana wajameni
the wrinkles on both faces.
Madam kazoea kusifiwa...ukijua chanzo cha kumwita Salama EBBS,utaajua kwanin amefanya juhudi ya kupiga picha na Ney...wakati akiwa Bukoba alisema hamjui wala hajawahi.kumsikia Ney....NB:Madam kazeeka ..aachane na Serengetiboys...vitamuua