Ney Wa Mitego uso kwa uso na Madam Ritta....

Mkare_wenu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2011
Posts
1,714
Reaction score
448
Ni kwenye uzinduzi wa Video mpya ya Diamond.

#My Take - Naona sasa mastar wanaopondwa na Ney wameanza kumuelewa jamaa,wamegundua hana namna nyingine ya kula hapa town bila kuwataja wao.Yaani hana namna nyingine ya kuwaconvice mashabiki wamkubali bila kutumia udhaifu wa mastar kama ngazi ya kufika juu,so kama wewe ni star jiandae next time unaweza kuwa wewe...

Nay-wa-Mitego-akiwa-pamoja-na-Madam-Ritta.jpg
 
Ni kwenye uzinduzi wa Video mpya ya Diamond.

#My Take - Naona sasa mastar wanaopondwa na Ney wameanza kumuelewa jamaa,wamegundua hana namna nyingine ya kula hapa town bila kuwataja wao.Yaani hana namna nyingine ya kuwaconvice mashabiki wamkubali bila kutumia udhaifu wa mastar kama ngazi ya kufika juu,so kama wewe ni star jiandae next time unaweza kuwa wewe...

View attachment 109793

Jamaa hapigi huu mzigo Kweli?
 
Madam Ritha kweli age imeenda maana hiyo picha alivyotoka uson

atuachiage basi hawa vijana wajameni
 
Madam kazoea kusifiwa...ukijua chanzo cha kumwita Salama EBBS,utaajua kwanin amefanya juhudi ya kupiga picha na Ney...wakati akiwa Bukoba alisema hamjui wala hajawahi.kumsikia Ney....NB:Madam kazeeka ..aachane na Serengetiboys...vitamuua
 
Waacheni madem zenu waje kwangu maana funguo za gheto ninazo mm..
Km vp wadau niachieni madam rita nifanye final touch,mbona bado vifiga vimekaa poa hivyo wajanja bado tunaliendeleza hapo
 
Kweli fani imevamiwa eti huyu naye anasifika kwa kughani,wakati hata verse,na lyrics zake hovyo!
 
Madam kazoea kusifiwa...ukijua chanzo cha kumwita Salama EBBS,utaajua kwanin amefanya juhudi ya kupiga picha na Ney...wakati akiwa Bukoba alisema hamjui wala hajawahi.kumsikia Ney....NB:Madam kazeeka ..aachane na Serengetiboys...vitamuua
barafu shusha nondo basi na sie tujue, si unajua tena
 
Last edited by a moderator:
kama kuna siku niliumia kwny huu mziki wetu ni pale ney alipopewa tuzo na kumtosa kubanda ngosha! KTMA KILLS OUR MUSIC
 
Madam Ritha kweli age imeenda maana hiyo picha alivyotoka uson

atuachiage basi hawa vijana wajameni

hahahahaaaa.... kweli hata mie nimeshangaa, au stress manake khaaa..... amezeeka kwakweli!
Hao masharobaro utawaweza? hao wanataka hela na wewe bahili hutaki kukopwa!
 
Hata ney anadai amepigiwa simu akawe judge wa EBSS, sijui kama kakubari. Jamaa mimi simkubari na akiendekeza kujifanya mwanaharakati akakataa michongo atakufa kwa njaa mziki biashara siku hizi hanabudi kukumbatia opportunities.

Back
Top Bottom