Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Lyrics za Ney wa mitego,si yote .
Verse1
ukisema hunijui ananijua dada yako
ukisema hunipendi ananipenda dem wako
mi ni maji usiponinywa......
mi ni punzi usipovuta utakufa
usijisahau eti ukanitupie jini
mi mwenyewe jini
ukinitumia majini
unaniongezea madini
....................
.........
wasanii wana tamaa wamekuwa mapunga
wengine wanakula unga
jiiteni majembe basi mi ndo mpini
mnaojiita wanyama basi mtaliwa na mimi
wanasema ukiwashwa mkono dalili ya kupata hela
je ukiwashwa kalio ni dalili ya nini?
.........
kwenye pochi la malaya utakuta poda na wanja
kwenye gheto la masela utakuta rizla na ganja.
chorus.....
..........
.........
Verse 2
Bongo fleva bongo movie,
viongozi wa dini,wanasiasa na matozi natoa dozi
nani rafiki wa mwananchi polisi au bunduki?
wanasiasa wanafki wanaanzisha maandamano,
wao wanatulia makwao na familia zao
wananchi viherehere ndo inakula kwao wanagongwa risasi
aibu kwa polisi
Rest in Peace mwangosi
Dini imekuwa biashara kuliko bongo fleva
wachungaji ndo wasanii ndo wanataka kutoka
kaanza Kakobe kapotea tupa kule
Mama Rwakatare kapotea kawa mbunge
Antony Lusekelo ndo bado yuko kwenye promo
......
..........
shetani ananishawishi nimwabudu yeye
namwamini mungu ananijibu sina dini
toka zamani siamini dini sijui kwanini
siyo msikitini siyo kanisani si mpagani
Mshahara million 10 kwa mbuge kazi gani
wakati mwalimu anakufa maskini
mshahara kima cha chini,
nchi inaongozwa na nani
nani afanye mapinduzi.
Usibishane na mimi
ukitaka kubishana na mimi basi busu kalio lako
............
..............
..........
Endelea kunichukia
ukinichukia andamana.
Listen to nAY(WA MITEGO) - WAMENICHOKOZA [url]www.hassbaby.blogspot.com on Hulkshare - Free Music Streaming & Download[/url]