Sikuwahi kuipenda VAR hadi juzi usiku wa maajabu, kuanzia sasa naheshimu maamuzi ya walio invent hii kitu. It's justice saver.VAR inakera.
wqngekuwa PSG ndo wamepewa ile penati.mashabiki wa man u.wangepasuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna watu wanateseka balaa na Man United kushinda.Duuuh ...kwa hiyo tulivyokuwa tunafungwa fresh tukishinda tunacheza na waamuzi ....
Umewahi kuchezesha mpira hata wa kijijini mkuu?Write your reply...
ila tuseme tu ukweli man u wanacheza sana na waamuzi
we angalia mechi ya Fa robo fainali against chelsea,jamaa walikuwa wakipga rafu ile mbaya,matic alikuwa anapewa red mapema tu,rashford nae
angalia mechi na southampton
tozi yuko sahihi
Yeah he is right maana mpira ulimgusa Kimpembe mgongoni na sio mkononi.That was not a penalty at all.The guy is right!
Huu sasa ni UzuzuYeah he is right maana mpira ulimgusa Kimpembe mgongoni na sio mkononi.
Idiots with your neema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Mimi mtu siyo team mkuu,halafu Jamaa hajapewa adhabu bado mtoa post alkw anasema endapo atapewandio, sababu adhabu kapewa Neymar sio timu
Shukran kwa maelezo yako mkuuKuna adhabu ya kutoshiriki kwa muda kadhaa au kutoshiriki kwa mechi kadhaa. Kama ni muda, utaendelea kuhesabika hata kama timu haishiriki (mfano Mtibwa Sugar ilifungiwa miaka mitatu CAF competitions na haikupata tiketi, muda ukaisha, mwaka jana ikashiriki). Kama ni idadi ya mechi, utazitumikia timu yako ikibahatika kupata nafasi ya ushiriki hata miaka ipite mingi
Mpira umepoteza radha kabisaVAR inakera.
wqngekuwa PSG ndo wamepewa ile penati.mashabiki wa man u.wangepasuka
Sent using Jamii Forums mobile app
idiots that support idiocy!Yeah he is right maana mpira ulimgusa Kimpembe mgongoni na sio mkononi.
Idiots with your neema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesoma sheria mpya?Kwa vile maamuzi yameshatoka sawa.Ila kiuhalisia mpira uligonga mkono.
Kwa shabiki huwezi kukiri ukweli.Umes
Umesoma sheria mpya?
Mpira umepoteza radha kabisaVAR inakera.
wqngekuwa PSG ndo wamepewa ile penati.mashabiki wa man u.wangepasuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpira umepoteza radha kabisa