mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Neymar atakuwa na kibarua kizito sana kudominate pale. Ila pamoja na hayo itifaki lazima izingatiwee.Kabla ya mechi wanatakiwa wakubaliane nani atapiga Penalty au free kick
exactly changamoto ndo hizi sasaCavan ana goal scoring accuracy kubwa kumzidi neymar na wenda hata mbape akamzidi neymar sasa sijui neymar hatafanyaje kushine maana mi naona kama psg wamemnunua kufaidi mauzo ya jezi tu ila kwa magoli sidhani maana neymar hawezi kuwa mbadala wa zlatan pale psg na hivyo atateseka sana. Anyway jamaa alisema kuwa ameenda kutafuta chngamoto mpya na nadhani sasa changamoto ashaipata tiyari.
Neymar atakuwa na kibarua kizito sana kudominate pale. Ila pamoja na hayo itifaki lazima izingatiwee.
endelea kuamini hivoNeymar anapaswa kumuheshimu Cavani.
Cavani ndo mfalme wa PSG kwa sasa.
Unafikiri mauzo ya jezi yatarudisha £198M??? Hata nusu ya hiyo pesa jezi hairejeshiCavan ana goal scoring accuracy kubwa kumzidi neymar na wenda hata mbape akamzidi neymar sasa sijui neymar hatafanyaje kushine maana mi naona kama psg wamemnunua kufaidi mauzo ya jezi tu ila kwa magoli sidhani maana neymar hawezi kuwa mbadala wa zlatan pale psg na hivyo atateseka sana. Anyway jamaa alisema kuwa ameenda kutafuta chngamoto mpya na nadhani sasa changamoto ashaipata tiyari.
Neymar is great player.....great players don't live under other great players shadows' forever....hiyo ndiyo sababu iloyomtoa Barca kwenda PSG....He wanted to be a superstar in a team built around his strength....he wanted that no 10 jersey worn by great players...neymar lazima atammiss ex playmaker wake wa Barceloma na moja kati ya footbal icone Messi. Cavani ni mwiba mkali wenye ncha pande mbili. Neymar needs to push hard than when he was in Barcelona [HASHTAG]#NeymarMessi[/HASHTAG]
haha why?Kama NDALA za kariakoo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji123] [emoji119]