Neymar aumia wiki mbilia kabla ya Kombe la Dunia, Ancelotti alitaka kumuacha, ila akashinikizwa

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
9,504
Reaction score
20,293
Neymar ameripotiwa kuumia siku cjache kabla ya Kombe la Dunia kuanza na ataukosa michezo wa Brazil dhidi ya Morocco

Katika majumuisho ya awali, kocha Carlo Ancelotti alikuwa amemuacha staa huyo kutokana na kutokuwa fit na kuandamwa na majeraha, lakini shinikizo kutoka kwa wanasiasa, mashabiki, makampuni ya michezo kama Nike yalishinikiza Hadi staa huyo akachukuliwa

Soma Pia: Messi aumia kwenye mchezo wa ligi wiki chache kuelekea Kombe la Dunia, Waargentina wajawa na hofu

Je uamuzi unaosubiriwa ni kuwa Ancelotti atatumia nafasi hii kama fursa ya kumuacha au ataendekeza maoni ya mashabiki, wanasiasa na wafanyabiashara?
 
Neymar hana bahati na kombe la dunia
 
Siku yenyewe anaingia kambi uvaaji ule nikajiuliza huyu kwann Asiaze kuimba na akina namless
wachezaji wote wako hivyo,angalia uvaaji wa wachezaji wa taifa stars walivyokuwa wanaingia kambini,jinsi walivyovaa,muhimu wavheze vizuri,uvaaji sio muhimu.Neymar anchelot kamchagua sio kucheza bali kutia hamasa timu yake
 
kitu ambacho kinaathiri timu mojakwamoja kwa hasi ila chanya kwa makampuni
 
Back
Top Bottom