Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 9,504
- 20,293
Neymar hana bahati na kombe la duniaNeymar ameripotiwa kuumia siku cjache kabla ya Kombe la Dunia kuanza na ataukosa michezo wa Brazil dhidi ya Morocco
Katika majumuisho ya awali, kocha Carlo Ancelotti alikuwa amemuacha staa huyo kutokana na kutokuwa fit na kuandamwa na majeraha, lakini shinikizo kutoka kwa wanasiasa, mashabiki, makampuni ya michezo kama Nike yalishinikiza Hadi staa huyo akachukuliwa
Soma Pia: Messi aumia kwenye mchezo wa ligi wiki chache kuelekea Kombe la Dunia, Waargentina wajawa na hofu
Je uamuzi unaosubiriwa ni kuwa Ancelotti atatumia nafasi hii kama fursa ya kumuacha au ataendekeza maoni ya mashabiki, wanasiasa na wafanyabiashara?
wachezaji wote wako hivyo,angalia uvaaji wa wachezaji wa taifa stars walivyokuwa wanaingia kambini,jinsi walivyovaa,muhimu wavheze vizuri,uvaaji sio muhimu.Neymar anchelot kamchagua sio kucheza bali kutia hamasa timu yakeSiku yenyewe anaingia kambi uvaaji ule nikajiuliza huyu kwann Asiaze kuimba na akina namless
Si anakwepa foleni,na usumbufu wa mashabiki njianiPlastic legs... Ubishoo mwingi, anakuja tizi na helikopta binafsi, huyu abakie kuwa shabiki tu
kitu ambacho kinaathiri timu mojakwamoja kwa hasi ila chanya kwa makampuniwachezaji wote wako hivyo,angalia uvaaji wa wachezaji wa taifa stars walivyokuwa wanaingia kambini,jinsi walivyovaa,muhimu wavheze vizuri,uvaaji sio muhimu.Neymar anchelot kamchagua sio kucheza bali kutia hamasa timu yake