Neymar: Barcelona yabariki harakati zake za kujiunga na PSG

Neymar: Barcelona yabariki harakati zake za kujiunga na PSG

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Nyota wa Barcelona Neymar amepewa ruhusa ya kuondoka Barcelona akitarajiwa kujiunga na PSG katika kitita cha rekodi ya pauni milioni 198.

Raia huyo wa Brazil amewaambia wachezaji wenzake wakati wa mazoezi siku ya Jumatano kwamba angependa kuondoka.

Alipewa ruhusa na meneja Ernesto Valvarde asifanye mazoezi na badala yake kushughulikia mpango wa uhamisho wake.

Mshambuliaji huyo ataruhusiwa kuondoka kwa gharama ya Yuro milioni 222, ambazo PSG iko tayari kulipa.

Hatua hiyo inajiri siku mbili baada ya kubainika kwamba Barca ilikuwa tayari kuruhusu uchunguzi wa Fifa iwapo PSG ingemsajili Neymar.

Katika mahojiano na gazeti la Mundo Deportivo, rais wa La Liga Javier Tebas alitishia kuchukua hatua za kisheria dhidi ya mabingwa hao wa zamani wa Ligue 1 iwapo soka ya Ulaya itashindwa kuchukua hatua.

Pia alisema kuwa rais wa PSG Nasser Al Khelafi alijulishwa kuhusu malengo ya mabingwa hao wa Uhispania.

Neymar alihamia Barcelona kutoka klabu ya Santos nchini Brazil 2013 kwa uhamisho wa pauni £46.6m na kusaini mkataba wa miaka mitano na mabingwa hao wa Uhispania 2016.

Mwakilishi wake Wagner Ribeiro ambaye siku ya Jumatano alichapisha ujumbe wa Twitter akisema yuko mjini Paris alisema mwaka uliopita kwamba mteja wake atalipwa mshahara wa £650,000 kwa wiki bila kutozwa kodi iwapo atajiunga na klabu hiyo ya Ufaransa.

Uvumi kuhusu uhamisho huo wa Neymar ulizuka , lakini rais wa klabu hiyo Jospe Maria Bartomeu aliambia BBC mchezaji huyo atasalia.

Neymar aliichezea klabu hiyo ya Barcelona katika mashindano ya ubingwa nchini Marekani kabla ya kusafiri kuelekea China ili kutimiza maswala yake ya kibishara.

Alisafiri kuelekea Uhispania siku ya Jumanne kabla ya kurudi Barcelona siku ya Jumatano.

Mchezaji huyo wa Barcelona aliifungia Barcelona mabao 105, kuisaidia kushinda mataji 2 ya ligi ,mataji 3 ya Copas del Rey na moja la vilabu bingwa Ulaya.


=====

Neymar has been given permission to leave Barcelona as he looks set to join Paris St-Germain in a 222m euro (£198m) deal.

The Brazilian, 25, told his team-mates at training on Wednesday that he wanted to leave the Spanish giants.

He was then given permission by manager Ernesto Valverde not to train and to "sort out his future".

The forward's release clause is 222m euros, which PSG are understood to be ready to pay.

Source: BBC Sports
 
2ae13843baae7674f80becd2bd23e398.jpg
AENDE TU KWANZA ALIKUWA ANATUJAZIA KIWINGU bora tumchukue Coutinho au Verrat
 
2ae13843baae7674f80becd2bd23e398.jpg
AENDE TU KWANZA ALIKUWA ANATUJAZIA KIWINGU bora tumchukue Coutinho au Verrat
Neymar kawashika pabaya Shabiki wa Barcelona.

Sasa munamuandama kwa matusi na dhihaka.

Barcelona sio mama wala baba ya neymar..maisha lazima yasonge ndugu
 
Neymar kawashika pabaya Shabiki wa Barcelona.

Sasa munamuandama kwa matusi na dhihaka.

Barcelona sio mama wala baba ya neymar..maisha lazima yasonge ndugu
yeye ndio kajishika pabaya
 
mwenzake alitoka PSG to Barcelona kwenye mafanikio
yeye anakimbia mafanikio

looser ukiwa fcb hukosi kitu duniani
 
Hilo la kuvaa hereni umeliona leo,baada ya yeye kutaka kuondoka..?

Kwanini unamtusi na kumdhihaki..?

Kwanini iwe sasa unarusha maneno ..?
Mm simrushii maneno ila naongelea uhalisia
 
Back
Top Bottom