Neymar/Brazil 3 - Messi/Argentina 0

Neymar/Brazil 3 - Messi/Argentina 0

Kuna moja kamtambuka golikipa kisha aka press kizembe
Pale angechapa shuti la maana
Akaanza kushangalia hata goli halijaingia bana,ila amekua mzuri sana tangu aende China tofauti kabisa alivyokua Totenham
 
Pale angechapa shuti la maana
Akaanza kushangalia hata goli halijaingia bana,ila amekua mzuri sana tangu aende China tofauti kabisa alivyokua Totenham
Walikuwa watamu sana brazil inawezekana wakawa wanarudi ila sio kwamba walipotea sana au kiwango kimeshuka sana isipokuwa mataifa mengine nayo yameendelea walichobaki nacho ni vile vipaji na sanaa ya mpira tofauti na watu kama jeremani wenyewe kanuni tu ukitoka hapa peleka pale penetration za kung 'ang'aniza cross na wana wapiga vichwa mahiri mnarudi kati.
 
Issue nyingine ni makocha wamebadilisha sana makocha utadhani timu za Bongo ila naona kama huyu wa sasa Tite anazijua falsafa za soka la Brazil
 
Issue nyingine ni makocha wamebadilisha sana makocha utadhani timu za Bongo ila naona kama huyu wa sasa Tite anazijua falsafa za soka la Brazil
Ni mapema tumpe nafasi kuna muingiliano wachezaji wanacheza ligi mbalimbali kitu kama hicho. Naikumbuka ile brazil ya kina Carlos aliulizwa mbona huko kwenu ku qualify mnapata tabu sana lakini mkija penye kombe la dunia mnafanya vizuri ?jibu alitoa kuwa wakati wa kutafuta timu za kwenda kombeni wanajumuika siku 3 mpaka 5 lakini wakati wa maandalizi ya kombe wanakuwa na muda mrefu kidogo wa kukaa pamoja.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Ni

Sawa sawa mkuu na kuna timu nyingine Amerika Kusini ni wabishi sana wakikutana na Timu kama Brazil Wanakaza Sana
 
Hapa naangalia World Cup Qualifying match kati ya France na Sweden wanachezea Paris dakika ya 62 1-1 magoli yote yamepatikana kipindi cha pili na Sweden walianza kufunga na POGBA kusawazisha kwa kichwa kutokana na mpira wa adhabu ndogo.
 
2-1 Payet dakika ya 65.
Nimewatch game naona hawa sweden nao sio wabovu sana wamejitaid japo ufaransa katumia uzoefu zaid kushinda.

Watoto wa Malkia nao wamejiokotea dodo chini ya Mpera,

Kashinda 3-0 dhidi ya Scotland

Wafungaji
Sturridge
Lalana
Cahil
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sawa sawa mkuu na kuna timu nyingine Amerika Kusini ni wabishi sana wakikutana na Timu kama Brazil Wanakaza Sana
Sio wabishi ila falsafa yao ni moja watu wa pande zile takriban wote mpira wanaujua kuna siku jamaa anahojiwa akasema kuliko kuangalia kombe la dunia ni bora aende akaangalie soka linalopigwa penye magereza na wafungwa nchini brazil na ndio maana mchezo wa soka unahusishwa sana na jamii ya chini tizama hata uswahilini ila ya miaka ile ya nyuma kabla hamjauza sehemu za wazi (open spaces ).
Kulikuwa na michezo kama gombania goli hii iliweza kusaidia kupata wapiga vichwa hodari kama abeid mziba (tekelo )na vile vile kupata makipa wazuri kwa wakati mmoja ukisoma historia ya kitwana Manara utaweza nielewa alikuwa mshambuliaji mzuri na kipa mzuri pia.
Pia kulikuwa na hand's ball (henzibo )hii pia ilichangia kupata makipa na wapiga mashuti hodari ukija penye danadana hapo ilikuwa khatari mtu anapiga mpaka 3000 ndio zao la viungo hodari kama gagarino, China ,octovean mrope na wengine. Leo wenetu wanacheza game penye runinga Inasikitisha.
 
Back
Top Bottom