Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Naangalia mtanange wa Uefa hapa kati ya Real Madrid Vs Psg naona Neymar licha ya kuwa na kipaji kikubwa bado ndani ya uwanja ameshindwa kuonesha thamani yake zaidi ya kufanya utoto mwingi kama vile kujiangusha na kupiga chenga zisizo na faida kwenye timu yake. Hana na tofauti na mpaka rangi kwenye Nywele kutoka Manchester!
Kama PSG wanamtegemea Neymar awape mafanikio watasubiri sana!
Povu ruksa...
Kama PSG wanamtegemea Neymar awape mafanikio watasubiri sana!
Povu ruksa...