Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale wapambe wa neymar waliokuwa wanapiga kelele ooh neymar mchezaji bora waje hapahuyu dogo anaujinga mwingi sana. alikuwa na opponent mdhaifu(Nacho) lakini showoff nyingi. wangeconcentrate kupitisha mpira kwa Mbappe pengine mambo yangekuwa tofauti kidogo. mpaka goli la kwanza ndiyo wakagundua umuhimu wa Mbappe.
Naangalia mtanange wa Uefa hapa kati ya Real Madrid Vs Psg naona Neymar licha ya kuwa na kipaji kikubwa bado ndani ya uwanja ameshindwa kuonesha thamani yake zaidi ya kufanya utoto mwingi kama vile kujiangusha na kupiga chenga zisizo na faida kwenye timu yake. Hana na tofauti na mpaka rangi kwenye Nywele kutoka Manchester!
Kama PSG wanamtegemea Neymar awape mafanikio watasubiri sana!
Povu ruksa...
Wale wapambe wa neymar waliokuwa wanapiga kelele ooh neymar mchezaji bora waje hapa
au harry kaneMwarabu imekula kwake, hela nyingi hakuna kitu. Bora wangemnunua DYBALA angewafaa sana.
Imekula kwake , kuna jamaa humu ameandika saana ooh neymar ooh neymar , mpaka anawatukana watuMwarabu imekula kwake, hela nyingi hakuna kitu. Bora wangemnunua DYBALA angewafaa sana.
Mimi nataka wapambe wake hapa , eti neymar ni neema sasaNeymar anahitaji kocha jeuri, wakupiga bench kama Pep kwa Aguero...
Alimwambia nataka ucheze navyo taka mm, siyo kama unavyo taka ww!
Showz kibao, anacheza legelege!! Hajitumi, haforce mambo!!
Chenga na dribles za kitoto!!
Mkuu ukiwa unatazama mpira hebu jitahidi utazame kwa jicho la umakini zaidi.Kwaiyo Psg nzima anacheza Neymar tu vp wakina Cavanni
au asensioAu
au harry kane
Hizo kauli za kumtetea tuNeymar alikua anafanya show ili Perez amnunue msimu ujao hakna kingne, ameona kwa psg ameingia chaka.