Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kwaiyo Psg nzima anacheza Neymar tu vp wakina Cavanni
Hahahahahah na kupoteanaa poaaaHala Madrid.
Mshaanza kutafuta mchawi.
Kama Zlatan alishindwa kuipa taji la Uefa Psg huyo dogo Neymar wala asijisumbue.
Yeye aendelee kuweka mkazo kwenye kuwapiga watu kanzu.
And he has money...what do you haveNeema amekula hela za Waarabu
Wajinga ndio waliwao[emoji16]