The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
mpira hauna uzoefu bro!kukosa uzoefu kunawagharimu sana psg game ya leo ilikuwa yao kbsa sema ndyo ivo utoto mwingi
[emoji28] [emoji28] [emoji125]PSG bye bye baba jeny...
Wewe ni mchambuzi MZURI. Neymar hakujiangusha hovyo hata chembe. Tatizo walimchezea rafu sana, walitaka afanye nini zaidi yakuanguka chini, au walitaka apae juu?. Magoli yote yaliyofungwa, tatzo ni beki walipoteana sana hasa dk za mwisho.mbona neymar amejitahidi sana leo, hivi nyinyi mumeangalia mpira wa wapi? sababu ya kufungwa ni kupotea kwa rabiot daika za mwisho, alipotea mpaka pasi anazopiga zilikua hazifika pia alikua hawezi tena kukaba
Well said.Neymar anahitaji kocha jeuri, wakupiga bench kama Pep kwa Aguero...
Alimwambia nataka ucheze navyo taka mm, siyo kama unavyo taka ww!
Showz kibao, anacheza legelege!! Hajitumi, haforce mambo!!
Chenga na dribles za kitoto!!
ndio maana napenda psg acheze tiago silva, anakua si mtu wa kujisahau, kocha alishindana wa psg alishindana na zezou kwenye kufanya sab, ni kweli cavani jana hakuonekana lakini alikua analindwa sana, kiasi ambacho mabeki walikua bize kwa cavani. baada ya kutoka cavani ndo kina ramos wakaanza kutanuka na nahisi hata mfumo walibadilisha madrid. na ukiangalia mpira madrid walitafutwa tangu daika ya 50 mpaka 73. naamini kama kocha atapanga kikosi chake imara na wakicheza kwa uweledi nyumbani wana uwezo wa kuipiga madrid 2-0Wewe ni mchambuzi MZURI. Neymar hakujiangusha hovyo hata chembe. Tatizo walimchezea rafu sana, walitaka afanye nini zaidi yakuanguka chini, au walitaka apae juu?. Magoli yote yaliyofungwa, tatzo ni beki walipoteana sana hasa dk za mwisho.
Kabisa, yaani kati ya kosa kubwa alilolifanya kocha, Unai Emery ni kuacha kuwachezesha Thiago na Dimaria ambao ni wazoezo. "Experience is the good teacher", game kama ile ilikuwa inahitaji wachezaji wazoefu.ndio maana napenda psg acheze tiago silva, anakua si mtu wa kujisahau, kocha alishindana wa psg alishindana na zezou kwenye kufanya sab, ni kweli cavani jana hakuonekana lakini alikua analindwa sana, kiasi ambacho mabeki walikua bize kwa cavani. baada ya kutoka cavani ndo kina ramos wakaanza kutanuka na nahisi hata mfumo walibadilisha madrid. na ukiangalia mpira madrid walitafutwa tangu daika ya 50 mpaka 73. naamini kama kocha atapanga kikosi chake imara na wakicheza kwa uweledi nyumbani wana uwezo wa kuipiga madrid 2-0
mbona neymar amejitahidi sana leo, hivi nyinyi mumeangalia mpira wa wapi? sababu ya kufungwa ni kupotea kwa rabiot daika za mwisho, alipotea mpaka pasi anazopiga zilikua hazifika pia alikua hawezi tena kukaba
Imekula kwake , kuna jamaa humu ameandika saana ooh neymar ooh neymar , mpaka anawatukana watu
Kweli huyu ni DADA NEEMAMsimshambulie NEIMAR angalien na watu wa timu pinzani
Nermar kacheza mpira wakivulana wakati anacheza na wanaumembona neymar amejitahidi sana leo, hivi nyinyi mumeangalia mpira wa wapi? sababu ya kufungwa ni kupotea kwa rabiot daika za mwisho, alipotea mpaka pasi anazopiga zilikua hazifika pia alikua hawezi tena kukaba
Neymar anafikiri ulaya ni santos. Ana kazi kubwa dogo janja kwa staili ile ya uchezaji.
Nermar kacheza mpira wakivulana wakati anacheza na wanaume
Msimshambulie NEIMAR angalien na watu wa timu pinzani