Neymar hatarini kukosa mechi zilizosalia za Kombe la Dunia 2022

Neymar hatarini kukosa mechi zilizosalia za Kombe la Dunia 2022

Nyie wa mpira takwimu mna matatizo saana,
Haya twende kitakwimu.

Unajua km neymar kaishacheza takribani game 100 kuliko hao watoto?
Sisi sote tunatizama mpira neymar huwa anaigharimu timu.
Kuna vitu vya kufanya timu ikiwa inaongoza 3.

Haya kwa mujibu wako mr takwimu
Neymar ni bora kushinda gaucho na de lima(kitakwimu)
Brazil ina wachezaji wangapi? kwanini panga pangua Neymar yupo?
 
Neymar hana tofauti na ibrahim ajib wachezaji wenye vipaji ila hawajijali kabisa yaani wana jiachia tu.
 
Back
Top Bottom