Neyma ni Kijana mairi Sana anayeonesha uwezo wake wa haki ya juu sana,
Mpira aliocheza neymar Jana watu ambao hawakuona Mpira wasubiri kusimuliwa matokeo wanalalama
Katika mechi ya Jana kuna makosa 6 ameyafanya mwamuzi wa mechi Ile na commentator kasema this is because we are in Bernabeu that's why you see this Type of soft penalt and more advantageous on Madrid side,
Lot of fouls not awarded to Psg but soft ones to Madrid,
Commentator 2: this is because of pressure from the audience,
Naishia hapo
Psg walitakiwa kupata penalty mbili zikakaushiwa
Fauls Zaid ya nne zimekaushiwa
Baada ya kupokea ujumbe toka jamiiforums tanzania na kujiridhisha kupitia kamati yake. Uefa imeamua kufuta matokeo ya mchezo kati ya real madrid dhidi ya Psg, na sasa mchezo mwingine umepangwa katika uwanja wa chamazi.
[emoji377][emoji377][emoji377] udi wa tarime sio wa mchezo asee
Mahaba ya yule refa kwa Madrid niliyaona muda sana sishangai kwa matokeo yaleNeyma ni Kijana mahiri sana anayeonesha uwezo wake wa haki ya juu sana,
Mpira aliocheza Neymar jana watu ambao hawakuona mpira wasubiri kusimuliwa matokeo wanalalama
Katika mechi ya Jana kuna makosa 6 ameyafanya mwamuzi wa mechi ile na commentator kasema this is because we are in Bernabeu that's why you see this Type of soft penalt and more advantageous on Madrid side,
Lot of fouls not awarded to Psg but soft ones to Madrid,
Commentator 2: this is because of pressure from the audience,
Naishia hapo
PSG walitakiwa kupata penalty mbili zikakaushiwa
Fauls zaidi ya nne zimekaushiwa
Kwa mpira ule neymar akishinda balon O'dor basi kipindi hicho abaki yeye na lukaku,giroud,torres
Tofautisheni mizuka na uhalisia uwanjani. Yaani mlitegemea PSG inafunga vitimu huko France ageuze wembe huohuo kumnyolea RMA? Tena kwenye mashindano makubwa namna hii?
Wengi wa wanaomponda ni mashabiki wa barca sijui kwanini
Neyma ni Kijana mahiri sana anayeonesha uwezo wake wa haki ya juu sana,
Mpira aliocheza Neymar jana watu ambao hawakuona mpira wasubiri kusimuliwa matokeo wanalalama
Katika mechi ya Jana kuna makosa 6 ameyafanya mwamuzi wa mechi ile na commentator kasema this is because we are in Bernabeu that's why you see this Type of soft penalt and more advantageous on Madrid side,
Lot of fouls not awarded to Psg but soft ones to Madrid,
Commentator 2: this is because of pressure from the audience,
Naishia hapo
PSG walitakiwa kupata penalty mbili zikakaushiwa
Fauls zaidi ya nne zimekaushiwa
Sasa ndo umesema ninilet me the first to reply.
yaani unaweweseka sijui kwa nini. hayo unayoyasema huwa yanaangaliwa sana na uefa na hawawezi kuyaachia hivi hivi. kimsingi hayawezi kutokea kwa refa anayependa career yake. hivyo unachosema sio kweli. unaweweseka baada ya matokeo. bora ungesubiri marudiano au uefa ya mwaka kesho.
Sehemu ipi hujaielewa?Sasa ndo umesema nini